Hii ni kwa wale wanaofahamu tu!!Km hujui piga kimya...Hey wanajamvi mi nina swali la kimapenzi ambalo ni- Hivi ni mwanaume gani ana msisimko mkali wa kimapenzi kati ya aliyeenda suna na yule ambaye hajenda suna?Na ni zipi faida za kwenda au kutokwenda suna?Vilevile ambao hawajaenda suna kon**mu wanavaaje?Majibu tafadhali...
ni yule ambye hajaenda suna kwani c linatekenya tekenya huko ndani kondom c lazima kwao kwani ukitaka utumie hiyo kwa raha lazima uende suna otherwise itakuwa inakuboa tu
Hii ni kwa wale wanaofahamu tu!!Km hujui piga kimya...Hey wanajamvi mi nina swali la kimapenzi ambalo ni- Hivi ni mwanaume gani ana msisimko mkali wa kimapenzi kati ya aliyeenda suna na yule ambaye hajenda suna?Na ni zipi faida za kwenda au kutokwenda suna?Vilevile ambao hawajaenda suna kon**mu wanavaaje?Majibu tafadhali...
Naona maswali mengine majibu yake unayo mwenyewe. Kwanza kutokana na maelezo yako naweza kubaini wazi kwamba wewe hujaenda suna. Sasa tuambie msisimko wako ni mkali kiasi gani wakati unafanya mapenzi? Pia tuambie kon**mu huwa unavaaje?
Jsaud,samahani sana najua nimekugusa mno,kwa swali lako unaonekana we ni g***i au uliye naye ndio yupo hivyo.Ukweli cku zote unauma,samahani sana mi niliuliza swali 2 wala sikuwa na nia mbaya nawe sawa ndugu?