Waswahili wanasema raha jipe mwenyewe.
Kwa mantiki hiyo, tajiri pia ana nafasi ya kujipa furaha iwapo atautambua utu wake wa ndani na kujua kuwa mali na utu ni vitu viwili tofauti.
Binadamu wote tuko sawa, masikini na matajiri.
Wakulu pamoja na kuweka boundaries, lazima tujue kuwa hizo boundaries zimewekwa hasa na watu wa uchumi..na inajulikana wazi furaha ni zaidi ya kuwa na uwezo wa kiuchumi!
ndio maana utakuta kuwa kwa wale walio na furaha ya kimaisha sio walio na uwezoi mkubwa kiuchumi kwa maana ya kuweza kuishi juu ya mstari wa umasikini(poverty line)
Kimsingi inabidi kuangalia mambo mengi zaidi ya uwezo wa kiuchumi/kifedha
Sasa na wewe nenda kule tandahimba na kadolari kako kamoja kwa siku afu ukae miaka mitatu urudi tena Dar uone kama tutakukumbuka! Acheni kudanganyana bana! Pesa sabuni ya roho!
unaitwa ' MBUZI ANATAKA KWENDA!'
kazi kwako aende au umalizane naye kwanza, akienda kama uko bize mpwa, usimlaumu kwa yatomkuta akijiliwaza kwa kumwacha aende. Afanyeje sasa?