Anicet mchomvu
Member
- Apr 18, 2012
- 95
- 213
KATI YA MCHINA Vs MZUNGU
Nani ana cheti feki hapa?
Jibu ngapiUnawezaje fananisha embe na chungwa, japo zote ni calculator lkn hiyo ya kwenye simu ni kwa ajili ya simple calculations na sio complex calculations kama hiyo
Mkuu magazijuto hayawezi kuwa complex calculation kwa developers wa simu.Unawezaje fananisha embe na chungwa, japo zote ni calculator lkn hiyo ya kwenye simu ni kwa ajili ya simple calculations na sio complex calculations kama hiyo
Simu karibia zote hapo zitazingua...lakini ukweli ni kwamba Casio yupo sahihi. Maana kanuni ni kufungua mabano kwanza ambapo
KATI YA MCHINA Vs MZUNGU
Nani ana cheti feki hapa?
Simu karibia zote hapo zitazingua...lakini ukweli ni kwamba Casio yupo sahihi. Maana kanuni ni kufungua mabano kwanza ambapo
6÷2(2+1)
Baada ya mabano kuna kuzidisha
6÷2x3
Ambapo linafuata kugawanya
6÷6=1
Sasa simu nyingi zinaanzia kugawanya halafu zinafungua mabano jibu linakuja 9.
apo umechemka mkuu fuata kanuni ya magazijuto then utapa jibu sahihi,jibu lake ni 9 let proove itSimu karibia zote hapo zitazingua...lakini ukweli ni kwamba Casio yupo sahihi. Maana kanuni ni kufungua mabano kwanza ambapo