no way,mara nyingi wanaume huwa tunakosea hapo tu,hatujui ni nini tunakitaka,yeye kampiga chini demu wa watu na demu kakubali kisha kachukua bosi wake aendeleze makamuzi jamaa anachanganyikiwa nini sasa??hakujiandaa na wala hakujali alipokua anamuacha kwanini aumie akiona mwenzie kachukua mzigo jumla,hiyo imekula kwake yeye kama alikua anatingisha kiberiti mwenzie kakilipua analo hilo,alitaka baada ya kumpiga chini demu achooooke sana.sasa demu kamzidi kete anatapatapa,mwambie aache kazi kama vipi arudi kwao singida akauze kuku wa kienyeji😛ound: