Nani amemroga Profesa Palamagamba Kabudi?

Tumbo lake lililogwa na hongo ya magamba. Chezea noti wewe.
 
Mkuu slow down... uzi wa long time huu... Nyakati zile tukubali alikuwa amelogwa ... Baada ya Kumua Prof Mvungi, imemzindua na sasa amedhamiria kuizika CCM ... Kabudi Bonge la Jembe ....

ok boss!! i remember! kawateketeza maccm leo
 
A mere family law professor can't tell anything about matters of national concern. You may just imagine....!!!
 
Kiukweli kilichofanya nikaikurupua hii thrwad ni baada ya kumsikiliza leo. Ndipo nkapta kiu yakujua hasa alipopitia huyu gwiji.

Ila sorry wengi hawakujua kama n ya zaman wakaanza kumpa za uso mleta mada.
 
Huu ni mwaka wa maadui wote wa tanzania kujitokeza, watanzania tuwe makini sana nao, uprofesa usiwe sababu ya kuwaonea haya
 
Huu ni mwaka wa maadui wote wa tanzania kujitokeza, watanzania tuwe makini sana nao, uprofesa usiwe sababu ya kuwaonea haya
Huyo Jamaa ni mtu wa system na alikuwa muhandishi wa magazeti ya CCM. Usitegemee jipya kutoka kwake
 
Ni kweli mwanzo alirogwa. Nakumbuka jamaa zangu wa law walivyokuwa wakinihadithia. Kabudi kwenye lecture yake full kumcfia jk na kuicfia rasimu ya katiba mpaka nikaogopa. Hata jana alivyokuwa akianza nikajua ataharibu lakn hata mwenyewe amekubali kuwa alikuwa mjinga na alipoeleweshwa akaduwaa. Hongera prof.
 
Sisi ni wanafiki na bado tu wachanga katika mijadala. Kesho akija na jambo lingine akaelekea kuunga mkono serikali tutamponda vibaya sana. Tunapenda kusikia sauti zetu wenyewe.
 
Prof. Kabodi bana: -------- ana tabia ya kushupaa na
Mjinga ana tabia ya kuduwaa...basi kuanzia leo mimi ni
MJiNGa...Somo kubwa sana 2014...Je wewe unachagua
kushupaa au kuduwaa?! # KaziKwako # KatibaMpyaTz
 

Kama mnaweza kumsema pr.kabudi kanunuliwa,kwa kuwa tu amepingana na ccm,sasa naelewa kwa nini hotuba za rais jk nyerere hazionyeshwi tbc,Dr.salm Ahmed salm kuitwa mwarabu,jenerali Ulimwengu kuitwa mrundi.
Kama mwl.jk nyerere kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa kuigawanya uganda na Rwanda iliyokuwa nchi moja alihuzunika,ni viongozi hawa walio na miwani ya mbao wanadiriki kumshambulia mtu yeyote kisa si mfuasi wa ccm.
Nimejua kwa nini ccm,mara kwa mara wanawasema wapemba kwa sababu kiitikadi ni wafuasi wa cuf.
Dhambi ya ubaguzi imeota ghafla ama sera ya ccm?.
Kitaalamu na mujibu wa sayansi ya siasa,unapata suluhisho kuwa chama cha mapinduzi kilishaacha siasa zake za umoja,mshikamano na kuanzisha sera za ubaguzi wa rangi,jinsi,ukabila na itikadi.
Ndio maana mleta mada ambaye ni mwanaccm anadiriki kusema Pr.paramaganda kabudi ni amehongwa,mara ni hili ,hii ni kwa kuwa tu amesema uhuni wa cc yaccm ambao wamejiandaa kukwamisha rasimu bora kabisa ya katiba ili waendelee kulipana fadhila ya madaraka!!.change we can,we ' ve the power,we have God we have the people ccm have to step down he has shown the great loss of political legacy.
 

Prof. Kabodi bana: -------- ana tabia ya kushupaa na
Mjinga ana tabia ya kuduwaa...basi kuanzia leo mimi ni
MJiNGa...Somo kubwa sana 2014...Je wewe unachagua
kushupaa au kuduwaa?! # KaziKwako # KatibaMpyaTz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…