Nani amemroga Profesa Palamagamba Kabudi?

Kuwachagua watu wote walioyokuwa kwenye tume ya mabadiliko ya katiba kwenye serekali ni mbinu ya kuzima kilio cha katiba na hiii serekali ishafanikiwa
 
hakuna maradhi mabaya kama BT
 
Huu utumbo ulioandikwa hauna madhara kwa ccm wala kwa Mh Kabudi mwenyewe. Ninachokiona ni vibwengo wa chadema mtandaoni wamefungua kijiwe kujifariji baada ya Kabudi kuwafunika wasaka tonge wa chadema bungeni.
Elimu ya juu ni chujio la kupima wazalendo wa kweli. Wahadhiri wanapotoa maneno ya kuipinga serikali huwa na lengo la kujua maziwa na usaha. Maziwa huwa na uwezo wa kung'amua na kujua kuwa wapo chuoni kuelimika ili kuijenga nchi na si kuwa fundi wa kuorodhesha kero bila suluhisho. Usaha ni kama mtoa mada yeye alijivunza kujua kuorodhesha kero na kutoa lawama kwa wanasiasa. Hapo alipo yupo kupambana na serikali kibubusa kwa kuwa aliwahi msikia Kabudi akipima uzalendo wa wanafunzi wake darasani.
 
Tawala zote duniani hata zilizo mbovu kiasi gani zina watetezi wake. Prof. Kabudi ni mmoja watetezi wa aina hiyo. Uzuri ni kuwa historia ina tabia ya kuwahukumu vibaya sana wakati mwingine kwa kuwasahau kabisa.
Na wewe sasa umegeuka kuwa mtetezi wao..
 
Siamini kama ni kweli kabaki peke yake kama msomi ndani ya CCM. Tatizo lako moja kila kukicha unaweka itikadi zaidi ya ukweli. Ninyi ndiyo wanasheria aliowasema jana kuwa Chuo kikuu kiliwakosea haki ya kutowafundisha legal history wewe ni mmoja wao... Me say lakini pitia hapa ]
 
We ndio umerogwa kwa sababu as an academician hujitambui na huna uwezo wa kutofautisha academic issues na real ones.

Shame on you. Bado tuna safari ndefu sana.
 
ENDELEA KUJIDANGANYA TU !
 
Acha kukurupuka wewe umesoma huu Uzi ni wa lini?
Au mahaba yamekuzidi
 

Cheo kimemloga.
 
Hata nilipokua nasoma mlimali kabudi bashiru walikua wakosoaji wakubwa wa chama na serikali lakini niwaonavyo sasa nashindwa kuwaelewa.wameamua kuwaacha watanzania hayeni bana ila wakati utasema.
 
Hata nilipokua nasoma mlimali kabudi bashiru walikua wakosoaji wakubwa wa chama na serikali lakini niwaonavyo sasa nashindwa kuwaelewa.wameamua kuwaacha watanzania hayeni bana ila wakati utasema.

Umesahau hii kanuni mzee, Ukiwa unakula hupaswi kuongea!!
 
'A Gentleman knows no weather' maana hii iweke kinyume itakusaidi kupata jibu zuri Soma mawazo haya:Top 10 rules on how to be a gentleman and woman in 2014 - Independent.ie
 
Ukiwa chuo unafundishwa critical thinking unakuja mtaani unakutana na how make living. Theories zinaishia getini na ukweli unafuatia tokea hapo. Kama mambo ya chuo in ya ukweli Professors ndio wangekuwa billionaire. Thinking loud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…