Nani aliyemuumba Mungu?

Unahakika gani kwamba sijathibitisha?

Unaweza kututhibitishia kua hapa hakuna uthibitisho wa kuonyesha mungu hayupo?
Silei ujinga mzee. Endelea kuruka ruka.

Utanikuta hapa hapa.
 
Sijaona jina Mola wangu hapo. Sijaina
 
Silei ujinga mzee. Endelea kuruka ruka.

Utanikuta hapa hapa.
Kuthibitishiwa mungu hayupo ni kulea ujinga?

Unatafuta kichaka ukimbie hoja uliyoianzisha?

Unaweza kututhibitishia kua hapa hakuna uthibitisho wa kuonyesha mungu hayupo?
 
Kuthibitishiwa mungu hayupo ni kulea ujinga?

Unatafuta kichaka ukimbie hoja uliyoianzisha?

Unaweza kututhibitishia kua hapa hakuna uthibitisho wa kuonyesha mungu hayupo?
Nacheka sana, huna uthibitisho ndiyo maana nasema silei ujinga na hili ulishakiri kwamba kisichopo hakithibitishiki, maswali mengi yanazuka hapa ya kwamba umejuaje kama Mopa hayupo na hujawahi kujibu swali hili.

Ndiyo maana nilisema hivi kukuomba wewe ushahidi ni kupoteza muda na kuitumia akili viabaya.
 
Tafuta vizuri pekua kila jina hapo kuanzia mwanzo mpaka mwisho
Nimepekuwa humo, na Mola wangu ana majina zaidi ya mia na sijaona hata moja hapo.
 
Sina uthibitisho?

je unao uthibitisho unaothibiytisha mimi sina uthibitisho?

Kama nilisema kisichopo hakithibitishiki kua hakipo je we ulikubaliana na mimi kua kisichopo hakithibitishiki?

Hiyo kauli niliitoa wayback kabla sijapata maarifa mapya, saizi nimeiva najua kuthibitisha visivyopo.

Na ndio maana nimekuwekea humu uthibitisho kuonesha mungu hayupo na kutilia mkazo zaidi nataka nijue je uthibitisho huo upo au haupo humu?
 
Ar-Rahman, ar-Razaq
Majina yake ndo hayo au ni a.k.a zake?

Niwekee majina yake yote ambayo umesema anatumia pamoja na a.k.a zake kiujumla halafu turejee kwenye ile list tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…