Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 727
- 1,631
Habari za Asubuhi team!!
kabla ya kuanza uzi wangu naomba kuweka sawa mambo yafuatayo;-
1. Sishambulii wala kudogosha au kudhalilisha dini ya KIKIRISTO kwa sababu uzi huu unahusu purely Christian faith.
2. Lengo la mada hii ni.pure curiosity to learn
3. Nahitaji open discussion siyo jaziba wala matusi.
Twendeni kwenye Mada
Jesus au Yesu kama anavyojulikana kwenye Imani ya Kikristo awali alitumwa kwa taifa la Wana wa Israel [Wayahudi au Jews]. Maana yake watu wake waliomlea, akakua, akapewa ujumbe na kuwapatia walikuwa ni Wayahudi......
Walioipokea injili first hand, wakaihifadhi ni Wayahudi mpaka inahama mikono na kuwafikia mataifa mengine maana yake imetoka kwa Wayahudi.
Swali langu;
Ikiwa Wayahudi ndiyo waliotukabidhi huu mkoba wa Injili ya YESU KRISTO ambayo nadni yake inasema ISRAEL NI TAIFA TEULE LA MUNGU, ilikuwaje wao wakatupatia Itikadi ambayo wao hawaiamini? Kitabu ambacho kinadai Taifa la Israel bila kujali matendo, nyakati au Imani yao bado wanabaki kuwa Taifa la Mungu????
Taifa la Mungu ambalo haliiamini hata hiyo bibilia au kumwamini hata huyu Yesu!!!!
Huu mlinganyo Uko sawasawa? Au ni another form of ZIONISM at work??. Jews are well known as masters in the ART OF DECEPTION and CONTROL, are we sure we ain't another piece in the CHESS BORD?
KIbaya zaidi kwenye Imani hiyo inawahusu wao tu WAYAHUDI na watu wote wengine wanaobakia hawana nafasi katika hilo!!! Tukapewa mpaka na term Maarufu Mungu wa Israel....
My dears brothers and Sister, we might be real determined to support Israel at all cost, wanafanya Mauaji, dhulma na mambo mengi mfano wake; Je ndilo Taifa Teule la Mungu linatakiwa kuwa? Hata hiyo Masjid Al Aqsa wanautaka, wakifanikiwa kuuweka kwenye himaya yao [Allah aepushilie mbali] unadhani ataabudiwa Mungu gani? Atatajwa na kutukuzwa YESU munayemwamini? Au litajengwa hekalu kwa ajili ya dini yao ya KIYAHUDI???
JE, tuna uhakikia kitabu walichotupatia Wayahudi ambacho wao hawakiamini ni kweli MANENO YA MUNGU au MIKONO YA WANADAMU [WAYAHUDI] IMEFANYA KAZI YAO???
Je, tunafahamu kuwa Wayahudi hawaani kuwa Masihi mwana wa Mungu alishakuja? Na wao wanamsubiria wao kwao??
Amini usiamini hata YESU au Nabii Issa Alayh Salam atakapokuja mara pili HAWATAMWAMINI bali wao WATAMWAMINI NA KUMUUNGA MKONO MPINGA KRISTO au MASIHI DAJJAL kama anavyofahamika kwa WAISLAM...
Karibuni kwa mjadala, shusha hoja bila matusi wala jaziba!!
Lengo ni kupeana elimu kwa kujadiliana kwa staha.