Nani alimuua Robert Auko aliyekuwa waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wadau naomba kujua iwapo Luna MTU anajua historia .ya Robert Auko Alikuwa Waziri wa mambo nje wa kenya.Huyu aliuawa wakati wa utawala wa Rais Moi
 
Auko aliekutwa na umauti shambani? khabari nzito hiyo pana mlolongo mrefu kabla ya huo ukiupata wa kina thomas mboya (Tom mboya )na waliofuatia utapata ukweli vinginevyo pana watu walifanya kazi yao wakaacha maiti.
 
Wadau naomba kujua iwapo Luna MTU anajua historia .ya Robert Auko Alikuwa Waziri wa mambo nje wa kenya.Huyu aliuawa wakati wa utawala wa Rais Moi
Huyo bwana alienda ziara ya kikazi na Moi huko nchi za watu, then akatokea kuwa mahiri sana kujibu maswali ambayo hata rais(boss) wake aliyashindwa kutoka kwa waandishi wa habari.. Umahiri huo uliwavutia sana waandishi kiasi kwamba muandishi mmoja haijulikani aliuliza kiuchokozi au hakujua kweli, lakini aliuliza "kati yenu Rais ni yupi?"Auko akajibu kwa haraka akumtambulisha boss wake kwa waandishi kuwa "huyu ndie rais mimi ni waziri tuu". Kama ilivyo kwa wenzetu huwa hawawezi kujivunga au kumezea, yule mwandishi akasisitiza palepale, kwa kusema, "basi wewe ndie ungefaa kuwa rais kwa kuwa unafahamu mambo mengi"... Jambo hilo lilizua chuki kubwa sana kwa ya rais Moi, na hata akaondoka kurudi kenya bila waziri wake na wakati walikuja wote. So, yeye alitangulia nyumbani na akiwa njiani akamtumia ujumbe waziri wake akimwambia, "ubaki hukohuko kwa hao wapumbavu wenzako wanaokutaka uwe rais"... Hata hivyo ndugu Auko aliamua kurudi tu nyumbani pamoja na onyo hilo. Siku tu aliyofika, jioni wnausalama walifika nyumabani kwake na wakamuomba kuwa wana mazungumzo nae ya faragha, bwana Auko aliingia chumbani mwake na kumuita mkewe akamueleza yote kwa haraka na kumuaga mke wake kwani alihisi kuwa asingerudi salama nyumbani kwake. Hata hivyo bwana Auko alivaa saa maalumu ambayo iliweza kurekodi matukio yoooye ambayo alifanyiwa na wana usalama hao. Saa ile aliifahamu mke wake tuu, hivyo baada ya tukio la mauaji ambayo hayakufanyikai mbali na kwake bali ni nyuma ya nyumba kwenye shamba lake, mwili ulivyookotwa, ukweli ulijulikana baada ya saa ile kupelekwa na mama yule kwa rafiki wa karibu wa mume wakee.
 
Jibu hili hapa "Robert Auko naomba ubaki huko huko kwa Wapumbavu wenzio wanaokutaka uwe rais" (Daniel Arap Moi)
 
mkuu story haijaisha saa ilisema nini?
 
kama sikosei kuna msemo uliibuka ulikuwa unaitwa fimbo ya nyayo enzi hizo(Kenyan you will correct me if am wrong) ukisikia nyayo ujue kwisha habari yako
 
Huyo bwana alienda ziara ya kikazi na Moi huko nchi za watu, then akatokea kuwa mahiri sana kujibu maswali ambayo hata rais(boss) wake aliyashindwa kutoka kwa waandishi wa habari.. Umahiri huo uliwavutia sana waandishi kiasi kwamba muandishi mmoja haijulikani aliuliza kiuchokozi au hakujua kweli, lakini aliuliza "kati yenu Rais ni yupi?"Auko akajibu kwa haraka akumtambulisha boss wake kwa waandishi kuwa "huyu ndie rais mimi ni waziri tuu". Kama ilivyo kwa wenzetu huwa hawawezi kujivunga au kumezea, yule mwandishi akasisitiza palepale, kwa kusema, "basi wewe ndie ungefaa kuwa rais kwa kuwa unafahamu mambo mengi"... Jambo hilo lilizua chuki kubwa sana kwa ya rais Moi, na hata akaondoka kurudi kenya bila waziri wake na wakati walikuja wote. So, yeye alitangulia nyumbani na akiwa njiani akamtumia ujumbe waziri wake akimwambia, "ubaki hukohuko kwa hao wapumbavu wenzako wanaokutaka uwe rais"... Hata hivyo ndugu Auko aliamua kurudi tu nyumbani pamoja na onyo hilo. Siku tu aliyofika, jioni wnausalama walifika nyumabani kwake na wakamuomba kuwa wana mazungumzo nae ya faragha, bwana Auko aliingia chumbani mwake na kumuita mkewe akamueleza yote kwa haraka na kumuaga mke wake kwani alihisi kuwa asingerudi salama nyumbani kwake. Hata hivyo bwana Auko alivaa saa maalumu ambayo iliweza kurekodi matukio yoooye ambayo alifanyiwa na wana usalama hao. Saa ile aliifahamu mke wake tuu, hivyo baada ya tukio la mauaji ambayo hayakufanyikai mbali na kwake bali ni nyuma ya nyumba kwenye shamba lake, mwili ulivyookotwa, ukweli ulijulikana baada ya saa ile kupelekwa na mama yule kwa rafiki wa karibu wa mume wakee.
aysee
 
Dr Robert Ouko aliuwawa na Presdaa MOI mwenyewe akishirikiana na aliyekuwa waziri wake Nicholous Biwoti na hii ni baada ya kutoka safari ya nje ya nchi alipomfunika moi mbele ya waandishi wa habari wakati huo Dr Ouko alikuwa waziri wa mambo ya nje.
 
Wadau naomba kujua iwapo Luna MTU anajua historia .ya Robert Auko Alikuwa Waziri wa mambo nje wa kenya.Huyu aliuawa wakati wa utawala wa Rais Moi
Dah! Aliuliwa na maafisa wa mtukufu! Kulingana na upelelezi wa makachero wa S.Yard. na kila aliehusika na kifo au ushahidi alijufa kifo cha ajabuajabu..ni habari inayojaza kitabu
 
Dr Robert Ouko aliuwawa na Presdaa MOI mwenyewe akishirikiana na aliyekuwa waziri wake Nicholous Biwoti na hii ni baada ya kutoka safari ya nje ya nchi alipomfunika moi mbele ya waandishi wa habari wakati huo Dr Ouko alikuwa waziri wa mambo ya nje.
Uko sawa...
 
Back
Top Bottom