Nani alimuua Laurent Desire Kabila?

TASMANIA

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
656
723
Leo katika pitapita zangu, nikajikuta namkumbuka marehemu Mzee Laurent Desire Kabila.

Mzee aliuwawa katika miaka ya 2000.

Swali langu ni nani alimuua??

Pia mwenye kujua elimu na historia ya maisha take.
 
Mpaka sasa hakuna ushahidi usio na Shaka kuwa Nani kamuua kwa kuwa ADC ( tunaita Bodyguard) wake aliuawa Mara tu baada ya Mauaji Yale ya risasi aliyopigwa Sikioni akiwa katulia Ofisini kwake na mpaka Leo hii Silaha iliyotumika kumuua haijawekwa hadharani.
Kuna kundi linasema aliuawa na Maafisa wa Juu wa Serikal yake kwa ushaurikiano wa Mwanae Joseph Kabila aliekuwa Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais na baada ya Afisa Mmoja kuingia ndani ya Ofisi yake alitoka Nje na kumpiga Risasi Yule ADC na kusingizia ndie alimuua 'Mzee' na yeye ndo akamkurupusha na kummaliza
 
Ngoja nikupe namba za Manuel Kabila atakupa stori nzima bila hata kuficha chochote lakin unajua french hata neno moya?
 
Mpaka sasa hakuna ushahidi usio na Shaka kuwa Nani kamuua kwa kuwa ADC ( tunaita Bodyguard) wake aliuawa Mara tu baada ya Mauaji Yale ya risasi aliyopigwa Sikioni akiwa katulia Ofisini kwake na mpaka Leo hii Silaha iliyotumika kumuua haijawekwa hadharani.
Kuna kundi linasema aliuawa na Maafisa wa Juu wa Serikal yake kwa ushaurikiano wa Mwanae Joseph Kabila aliekuwa Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais na baada ya Afisa Mmoja kuingia ndani ya Ofisi yake alitoka Nje na kumpiga Risasi Yule ADC na kusingizia ndie alimuua 'Mzee' na yeye ndo akamkurupusha na kummaliza
Kwani Joseph Kabila ni mtoto wa Laurent Kabila?
 
Nimeiona hiyo documentary,nilicho elewa mimi ni kua kwa kasi na kabila mtoto tawezekana alihusika.
maana suspect wote walikua ni maafisa wa ngazi za juu za vyombo vya ulinzi na usalama vya kongo.wapo baadhi ya askari walio tekeleza mauji ya walebanoni ambao walikua watu wa karibu na Laurent kabila,na hao askari walitoa utetezi mahakamani kua walipata amri kutoka kwa Joseph kabila.ila mahakama haikuzingatia utetezi wao kwa sababu Joseph kabila alikua tayari ni rais .
 
Back
Top Bottom