tanx sana yah nimeupata ....http://www.eastafricantube.com/search/DDC Mlimani Park Wana Sikinde Ngoma Ya Ukae Penzi La Fukara/"Penzi langu kumpa yule bibi hilo msinilaumu eeh...penzi la fukara halina thamani mbele ya watu......"Jina la wimbo ni PENZI LA FUKARA...mimi km simba na yanga basi mimi msondo ngoma lkn hiki kibao cha sikinde kinanipeleka mbali sana
Aliimba Papaa Wemba !!Wakuu nataka nani au ni bendi gani iliimba huu wimbo wa mapenzi haya kificho yanapoingia moyoni...Mtu chake apendacho, hakina hila machoni, huridhika kuwa nacho japo hakina thamani:sleepy:
mhhhjj aiseee umekula chumvi nyingi
Huoni nimetaja kwa Mbowe mkuu?
hakuna shida mkuu.
Nipo na nimejaa tele.
sijajua ulipo ila kama uko Dar, baadae tungeenda bonanza Leaders Club.
Sana.Mi ndo yule nauliziaga facebook yangu pale ofisi za tigo! Ha ha ha. Nakutania,mi ni mdau pia wa ujasiriamali wa dj na mziki. Lazima history za miziki na wanamziki wengi niwajue. Umri bado damu inakimbia tu dada kwani mechi ya dakika tisini na hata ziwepo za nyongeza na hata kufika penati,hainisumbui.
Du...mbona waonekana kipusa cha haja.Nitake radhi, kwa umri wangu wa miaka 54 unaniita wa dotcom!!!!
Nitake radhi nakwambia ewe kijana Swat
duuh long tymeeeee.....Wimbo unaitwa Penzi la Fukara, I believe.
Lakini shairi lenyewe hilo hasa liliandikwa na mshairi maarufu Kaluta Amri Abedi (1965) na lipo katika kitabu chake cha Sheria za Kutunga Mashairi na Diwani ya Amri.
Wahenga mpo hapo?
Du...mbona waonekana kipusa cha haja.
Tupe siri...!
[emoji7]