MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
- Thread starter
-
- #61
Yes, huyu ni kati ya waandishi wachache ambao bado wanasimama katika misingi ya uandishi wa habari.Tanzania tumebakia na waandishi wa habari makini wachache sana mmoja wao ni.
Johnson Mbwambo.
Nasikia anapata vitisho vya maneno na fedha lakini hayuko tayari kuachana na misingi ya uandishi.Huyu jamaa kabakia imara sana, inasikitisha sana Jenerali Ulimwengu yeye kubadili msimamo wake, ni aajabu kweli na inasikitisha sana.
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa hata akiwa nje ya CCM. Hafai kuwa Rais wa Tanzania.
Kura yangu itaenda kwa wabunge wa upinzani ili kuliweka bunge katika hali ya usawa(balanced) ili lifanye kazi sahihi ya kutunga sheria na kuisimamia serikali ya Magufuli na siyo kuwa rubber stamp ya serikali.
I cant let my beautiful country go to the dogs.
Kura yangu siwezi kuifanya iwe angamizo kwa kizazi kijacho.Kura ya urais kwa Dr.Magufuli. wabunge,madiwani UKAWA
Sisi Rais wetu ni Edward Lowassa. Humtaki mpigie mgombea wa Urais kupitia CCM na ACT-WAZALENDO. Kwanza, hayo magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania ni pro-CCM na ACT. Kwa hiyo, wasijidai wana uchungu na CHADEMA. Waendelee kupigia chapuo vyama vyao. Wahuni wakubwa hao
Kimsingi Lowasa hafai kuwa Rais wa tz, na hili watu wanatakiwa kutambua kwamba watz ili tuweze kupata zile ndoto za wengi, ni jitihada za kupata wabunge wa kutosha kwa upande wa upinzani, huo ndo ukombozi wetu, viongozi wa UKAWA akiwemo Mbatia, yani inasikitisha sana, wao wanakomaa na Lowasa ambaye kimsingi si msafi sana, wanazembea kuweka nguvu kwenye udiwani na ubunge, wanatambua na kulalamika kila siku kwamba tume haitendi haki, wakati wanataka Urais,
Wamesahau kwamba bunge ndo sehemu pekee ya kutengeneza sheria nzuri ambazo zitafanya tupate hiyo tume huru ya uchaguzi, wanatambua kwamba Urais auhojiwi mahakamani lakini ubunge una hojiwa mahakani, hawa viongozi wetu wa upinzani wengi ni mizigo kweli kweli, Lowasa wakati akiwa ccm tena nafasi kubwa sana serikalini anataka kujidahi kwamba alikuwa hajui kuwa tume si huru? Na kimsingi Lowasa anaipenda tume iliyopo kwa maana moja kubwa, kwamba kama akibahatisha kuingia Ikulu basi na yy ataitumia kwa faida yake na washirika wake, hasingekuwa anaipende asingethubutu kugombea nafasi hiyo.
Ni bora tungebakia na UKAWA original kwa maana kwamba tungepata faida nyingine ya kuongeza wabunge wengi sana, lakini Lowasa kachanganya vichwa vya akina Mbatia na Mbowe, kwa hali hiyo hawana muda na mambo ya ubunge na ukizingatia wabunge wengi watakuwa ni wapya ukilinginisha na hawa wa ccm ni wazoefu na uchumi wao ni mzuri kwa maana ya kupiga kampeni jimbo zima, ss wenzetu upande wa UKAWA itafikia mahala wagombea ubunge watakosa hata pesa ya kufanya kampeni majimboni kwao.
Sasa faida ni ipi, tuongeze wabunge au tuchague Lowasa ambaye atakuwa na wabunge 50 au 60, na je hayo mabadiliko yatakuja vipi? ni aibu kubwa sana sana, ila naamini na hata mm sintopiga kura kwa Lowasa, ntakachofanya ni Makufuri na mbuge wa UKAWA.
Sisi Rais wetu ni Edward Lowassa. Humtaki mpigie mgombea wa Urais kupitia CCM na ACT-WAZALENDO. Kwanza, hayo magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania ni pro-CCM na ACT. Kwa hiyo, wasijidai wana uchungu na CHADEMA. Waendelee kupigia chapuo vyama vyao. Wahuni wakubwa hao
Unaposema Sisi Unamjumuisha Na Nani We Lofa.Raisi Ajae Wa JMT Ni JPM Wewe Endelea Kujidanganya.
Niko mimi, familia yangu, ndugu zangu na ukoo wangu. Wapo na Watanzania wengine wengi. Ni Rais wako huyo. Mimi siwezi kumpigia kura mhuni km Magufuli. Mzee wa......kuuza nyumba kwa vimada
Kweli mwaka huu ni wa mahaba niue,Magufuli unamuita muhuni?labda kwa mtu alie mgeni Tanzania
Naiunga Mkono Makala Kwa 100%.Mimi Natamka Wazi Kuwa Lowassa Ni Fisadi Na Hafai Kwenda Ikulu.Mimi Binafsi Yangu Nimeshaamua Kura Yangu Kwa Magufuli.Tunataka Raisi Mchapakazi Sio Mchezadili
#hapakazitu
Nakubaliana na wewe! Mbowe ni Clever Businessman! Lowasa ni "Risk worth taking". Hata ikitokea akashindwa wakati wabunge ni wengi basi bado Mbowe na familia yake wataendelea kuwa winners. Mnajua tena ruzuku n stuff!It was a risk they wanted to take... Lets see itakuaje, but for sure Slaa asingeweza kupata over 25% ya votes!!
KUlikua na serious fatigue na namna yake ya kucheza siasa
Hili ndo tatizo la wajinga wa kitanzania! Wanapolishwa na ujinga na baadhi ya wajanja wenye ajenda zao wajinga hao wanajigeuza wahubiri wa ujinga waliolishwa. Kwa hiyo wewe umeaminishwa na kukubali Lowasa alijitoa CCM mwenyewe? Oooh God!Na kama ni fisadi kiasi hichn kwanini ccm walikaa nae miaka nane mpaka akajitoa mwenyewe?msitake kucheza na akili zetu.maamuzi yameshafanyika.rais ajae ni lnwasa.