Nani Alihamia CCM akafanikiwa?

Kufanikiwa uandike wewe, mimi nnapouliza "Kufanikiwa" kisiasa ni nini? useme kuwa nnapindisha mjadala. Wewe upo sawa kweli?

"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?

Duh B7,

Hii ni aibu, hujui maana ya kufanikiwa kisiasa? Kila siku unapiga majungu humu hata kushabikia ----- wa CCM! Huwa unataka nini? Au huwa inaitakia nini CCM chama chako pendwa kinachokuweka mjini?
 
Mh. Abbas Zuberi Mtemvu mbunge wa temeke mwanzoni alikua mwanachama wa CUF sasa ni CCM, lete hoja yenye mashiko
 
Huwezi kuhama na kufanikiwa kirahisi. Kuhama tu ni dalili ya kuwa huna uanchokisimamia, sasa ya nini ufanikiwe?
 
kifupi ni hakuna.Wote waliodanganywa wamekuwa jalala
 
Mleta mada kama c -------- atakuwa tahaila unawezaje kuongelea mafanikio alafu uchumi uka uweka pembeni tafuta jingine wewe mwepesi wa fikra. Kila mwana siasa yupo kimaslahi na maslahi ya kisiasa hupelekea ukuwaji wa uchumi kwa mwanasiasa sasa we mbulula una andika upuuzi gani
 
Asante Mbulula mwenzangu!!! Nimewatia kidole cha jicho eeeh?? Povu jingiii kama yule kenge mwenzenu
 
Kufanikiwa uandike wewe, mimi nnapouliza "Kufanikiwa" kisiasa ni nini? useme kuwa nnapindisha mjadala. Wewe upo sawa kweli?

"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?
Inavyoonekana uwezo wako Kuzisoma na kuzitafakari post za watu ni dhaifu. Post inajieleza kabisa kuhusu Mafanikio; 1.Kisiasa, 2. Kiuchumi na hata Kijamii waweza kuongezea. Ukipinga kila kitu unaonekana wewe si lolote wala chochote bali ni Mvurugaji wa mada. Take you time to think cretically b4 you reply for any comment b4 you.
 
Wacha pumba.

Kufanikiwa kisiasa ni nini?
 
Duh B7,

Hii ni aibu, hujui maana ya kufanikiwa kisiasa? Kila siku unapiga majungu humu hata kushabikia ----- wa CCM! Huwa unataka nini? Au huwa inaitakia nini CCM chama chako pendwa kinachokuweka mjini?

"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?

Kwi kwi kwi teh teh teh. Umeshindwa kuainisha mpaka uitolee mfano kwa CCM? nyie CCM ndiyo role model yenu. Hamna ujanja wala mlijuwalo.
 
"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?

Kwi kwi kwi teh teh teh. Umeshindwa kuainisha mpaka uitolee mfano kwa CCM? nyie CCM ndiyo role model yenu. Hamna ujanja wala mlijuwalo.
Nimegundua huko narrow minded JF member and I will never contribute to any of your comments.
 
mkuu umenikumbusha nakumbuka enzi hizo zitto akiwa katibu wa daruso, ilikuwa kituko kabisa jamaa mnafiki sana, mimi nilijua hawezi fika mbali lazima asaliti......alisha kataa kufanya mgomo siku moja pale nkrumah vijana wakakasirika sana

hana lolote zitto, alikuwa na ----- mmoja anaitwa rugemalila katika serikali ya daruso....ovyoovyo
 
umenena minawashangaa wanao dai kaonewa wanamalengo gani, na hao wanaosema kumfuata labda ndo anawaendeshea maisha yao
 
Hata kama wanafanikiwa haiwezi kuwa sababu yakuto wafukuza wanafiki hao, waende
 
[ [/QUOTE]
Acha jazba mkuu, Great Thinkers ni lazima wachambue mantiki ya thread....la msingi ni kutoa ufafanuzi muafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…