Nimekuelewa, kama hujui basi hii thread haikuhusu, hamia nyingine. Usiache nikutukane bureee please nakuomba sana
acha kudurufu maswali. si umeuliza hapo juu?! ya nini kuuliza tena? tulia amesema atarudi kwako, mbona una mcheche?!
Wewe usinitishe, matusi nimeyazoea humu JF, mkishindwa kujibu hoja mnaanza viroja.
Unaleta mada halafu unashindwa kuitetea, huo ni upunguani wa hali ya juu. Nauliza tena;
"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?
Kama hukijui ulichokiandika ni bora ungetafuta kingine cha kuandika. Mtu kama wewe ndio unakurupuka na mada ambayo hata wewe mwenyewe huelewi unachokiandika.
Wewe kama una jibu msaidie, wacha kutokwa povu, mwenzako kishaanza kutoa mapovu naona umeamua kumsaidia, nauliza;
"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?
Kufanikiwa uandike wewe, mimi nnapouliza "Kufanikiwa" kisiasa ni nini? useme kuwa nnapindisha mjadal. Wewe upo sawa kweli?
"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?
Wewe kama una jibu msaidie, wacha kutokwa povu, mwenzako kishaanza kutoa mapovu naona umeamua kumsaidia, nauliza;
"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?
"Kutokwa" povu ni nini?
Bila kusahau Juliana Shonza na Stela sory Mtela Mwampamba wamefanikiwa kugegedwa na Mwingulu.Masumbuko lamwai.
"Kutokwa" povu ni nini?
Ok ok asanate kwa kuchangia, unaulizwa swali unajibu swali mimi na wewe punguani ni nani? anzisha thread yako uulize huu upuuzi wako.
Kila mtu sasa anajua kile kinachooendelea, sio siri tena kwamba kuna kila juhudi za kuwapata wana-CDM wahamie CCM. Sio kificho tena kuwa juhudi hizo zinafanyika kwa siri na kwa uwazi. Katika tafakuri yangu nikajikuta najiuliza swali hi; JE NI NANI ALIHAMIA AU PENGINE ALIRUDI CCM AKAFANIKIWA? Mafanikio haya ni ya kisiasa na sio kiuchumi. na ni kwa nchi yake sio kwake binafsi!!!!
Nani ameweza kuwa mzalendo wa kweli CCM ambaye alitoka Upinzani? Kwahio, kwa vijana wenzangu wenye kutafuta future ya maisha yao ya baadae, nawashauri waangalie upepo unakoelekea. Ila kama una mtu unamfahamu alihama upinzani na kufanikiwa basi tumtaje hapa jukwaani. Atajwe kwa jina na wote tukubali, kama hakuna tujiulize mara mbili mbili na sio kuwashauri wenzetu wahame!!!
Na pia baada ya kuwataja, kama kweli wapo tupime na ratio yaani waliohama ni wangapi na kati yaho waliofanikiwa ni wangapi!!!
Kwanini wengi waliohama CCM kwenda upinzani ni Walaghai
Nani alimmimba huyu?Juliana shonza,amefanikiwa kuwa mama kijacho.
Steven wasira
Jitazame, huko ndiko kutokwa povu.
"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?