adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,960
- 6,161
IQ ni Corona ipo Dar..wewe unaenda Mkoani tena kijijini.Ukiulizwa unasema upo Likizo.
Unadhibitisha vipi?Akili ipo ndani ya ubongo
IQ(Intelligence Quotient)Iq mtu anazaliwa nayo haina uhusiano wowote na knowledge unayo acquire darsani ndio maana unaweza kuta darasa la saba akampita mwenye masters iq.
Usichanganye intelligence and knowledge mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, tumechoka kumezeshwa mambo, tufungue fikra zetu tuyaelewe mambo tuliyakuta kwa undani zaidi, naamini tukipata majibu ya kama....Naunga hoja ya mtoa post:Ni Nani mgunduzi wa IQ-test?hata Nina dukuduku kumfahamu na vigezo alivyotumia