Nani alianzisha combination za masomo kwa A level!!!!!

pefhana

Senior Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
158
Reaction score
105
Nimepigiwa simu na dogo amechaguliwa combination ya EGM au CBG nimshauri achague ipi. Nikajiuliza,Hivi kuna uhusiano gani wa moja kwa moja kati ya Economics na Geography kwa EGM. Pia kati ya Chemistry/Biology na Geography. Nikatafakari comb nyingine k.m HGE, PCB, HGL, HGK, ECA, CBN, PGM, PCM, HKL, KLF, nk nikakumbuka nilisoma PCM. Angalau Chemistry ina uhusiano na Physics na Maths, ingawa sikuwahi kuikubali chemistry katika Comb hii. Wanafunzi wengi wa PCM huiona Chemistry ni mzigo unaohitaji uwezo wa kukariri kariri. Hali kadhalika PCB huiona Physics ni kikwazo kwani huitaji kuelewa na kusolve na sio kukariri.

Sijui nani alizitunga hizi combinations. Ila nashauri wazingatie uhusiano wa moja kwa moja wa masomo wakati wanatunga hizi combinations.
 
kwa mfano kungekuwa na kombinesheni ya KPM, kisw, phys na math ingekuwa powa tu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha chuki mkuu duuuh hatar sana
Hahaha wala si chuki kamanda mi nawajua c umeona ata daraja letu wameshaliita MFUGALE???
 
Jaribu kutunga wewe kwanza kama hilo alitatokea, kingine combination sio course ni njia ya kwenda chuo tu
 
Nimepigiwa simu na dogo amechaguliwa combination ya EGM au CBG nimshauri achague ipi. Nikajiuliza,Hivi kuna uhusiano gani wa moja kwa moja kati ya Economics na Geography kwa EGM. Pia kati ya Chemistry/Biology na Geography. Nikatafakari comb nyingine k.m HGE, PCB, HGL, HGK, ECA, CBN, PGM, PCM, HKL, KLF, nk nikakumbuka nilisoma PCM. Angalau Chemistry ina uhusiano na Physics na Maths, ingawa sikuwahi kuikubali chemistry katika Comb hii. Wanafunzi wengi wa PCM huiona Chemistry ni mzigo unaohitaji uwezo wa kukariri kariri. Hali kadhalika PCB huiona Physics ni kikwazo kwani huitaji kuelewa na kusolve na sio kukariri.

Sijui nani alizitunga hizi combinations. Ila nashauri wazingatie uhusiano wa moja kwa moja wa masomo wakati wanatunga hizi combinations.
hakuna haja ya kuangalia uhusiano,kwa mtazamo wangu wangetoa tu option mtu achague masomo manne ya kusoma advance,na kabla ya kufanya hivyo elimu itolewe kwamba ukitaka kua na fani fulani au mtaaluma fulani unatakiwa usome masomo fulani

mfano labda ukitaka kuwa daktari utakiwa uwe na biology,chemistry na physics ila kama ukitaka kuongeza na somo lingine unaweka kama kiswahili au math au english au computer au entrepreneurship
 
Nimepigiwa simu na dogo amechaguliwa combination ya EGM au CBG nimshauri achague ipi. Nikajiuliza,Hivi kuna uhusiano gani wa moja kwa moja kati ya Economics na Geography kwa EGM. Pia kati ya Chemistry/Biology na Geography. Nikatafakari comb nyingine k.m HGE, PCB, HGL, HGK, ECA, CBN, PGM, PCM, HKL, KLF, nk nikakumbuka nilisoma PCM. Angalau Chemistry ina uhusiano na Physics na Maths, ingawa sikuwahi kuikubali chemistry katika Comb hii. Wanafunzi wengi wa PCM huiona Chemistry ni mzigo unaohitaji uwezo wa kukariri kariri. Hali kadhalika PCB huiona Physics ni kikwazo kwani huitaji kuelewa na kusolve na sio kukariri.

Sijui nani alizitunga hizi combinations. Ila nashauri wazingatie uhusiano wa moja kwa moja wa masomo wakati wanatunga hizi combinations.
Waliotunga ni watunga sera za elimu
Ni sawa nankuuliza nani anatunga mitaala na sera za elimu.
1. Ujuzi huo wamesomea
2. Ni walimu
3. Wanajua au walijua wanachofanya

Kuhusu Geography na Economics sijui ulisoma wapi mpk usione uhusuano.

Kwanza, ndani ya Geography kuna kitu kinaitwa Economic Geography. Upo?

Pili, tunasema katika masomo yote 9 yanayosomwa Tanzania, na mengineyo huko duniani yapo ndani ya Geography.

Angalia hapa:

1. Hesabu ipo ndani ya Geography mf. Statistics, map, survey

2. Chemistry ipo ndani Geography mf. Topic ya Weathering, Soil

3. Agriculture vilevile hii ndio usiseme

4. Physics ipo ndani ya Geography mambo ya gravitation, rotation of the eath n.k

5. History imejaa ndani ya Geography

6. Biology ipo ndani ya Geography

7. Civics ipo ndani ya Geography

Tunasema Geography is a Multi discipline. Au bado hutaki?

Angalia mtu wa EGM katika sura ya urubani upate jibu, unaposoma uchumi unakuandaa katika kila nyanya za kazi yeyote utakayofanya na maisha ya kila siku, home economics, bussiness economics, and personal au sio? Uwezi sema uchumi haina maana, sasa Mtu anaetaka urubani, ana Geography alafu ana Mathematics alafu ana uchumi wa biashara ya anga, hapo vipi si ndio EGM iyo.

Karibu tena
 
Back
Top Bottom