MAKUTUPULA
Member
- Dec 13, 2019
- 11
- 1
Watanzania tumekuwa watu wa kulalamika kila kukicha ofisi za Serikali zinazotoa huduma mbaya bila kufuata utaratibu lakini lazima tuangalie nani alaumiwe,watanzania tuko zaidi ya milion 50 lakini wachache sana tunafunya mambo ya msingi bila kupelekeshwa.
Mfano vitambulisho vya NIDA walianza kutoa 2011 lakini kwa ujinga wetu hakuna aliyefuatilia mpaka Tamko limetoka kila kitu bila NIDA hauwezi kupata huduma ndio watu wa naanza kuangaika hivyo kuwapa mzigo NIDA tena mkubwa hivi watu milion 50 wahudumiwe kwa wakati mmoja tena baada ya kusema mwisho kusajili laini mwezi huu watawezaje?
Tukirudi upande wa UHAMIAJI walianza kutangaza kubadilisha pasipoti za zamani kuanzia mwaka jana January 31 na walisema wanatoa miaka 2 zoezi litafungwa kutumia pasipoti za zamani,sasa umebaki mwezi mmoja ndio watu wanakimbilia kubadilisha pasipoti sasa sielewi muda wote miaka miwili watu walikuwa wanasubiria nn kama sio foleni
Ni hoja yangu tu, watanzania tubadilike sio kutoa lawama tu kila siku kwenye tasisi zinazotoa huduma