Mwana kondoo
Senior Member
- May 21, 2017
- 180
- 175
Habari zenu ndugu zangu,
Kuna swali nimekua nikijiuliza sana na nimeona ni vyema nikashare hapa ili tujiulize kwa pamoja.
Kumekua na malalamishi kwa jinsia zote yani wanaume na wanawake, kila jinsia inailaumu jinsia nyingine kwa kua wadanganyifu katika mapenzi. Mfano; wanawake wamekua wakitulaumu sisi wanaume kua si waaminifu na ni wahongo sana katika mapenzi, vile vile sisi wanaume tumekua tukilalamika sana juu ya dada zetu hawa jinsi wanavyotutenda kwa kutokua waaminifu na tunashuhudia uhongo wao kila siku katika mapenzi.
Sasa imekua ni kulaumiana tu yaani wanawake wanatulaumu sana sisi wananume na sisi wanaume tunawalumu sana wanawake.
Swali ni je? kati ya mwanume na mwanamke unadhani ni nani anaongoza kwa kucheat na udanganyifu katika mapenzi?
Please toa mtazamo wako pasipo kuvutia jinsia uliyopo, yaani wewe sema ukweli tu kwa jinsi unavyodhani.