NANI ALAUMIWE

NANI ALAUMIWE

jofizo

Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
35
Reaction score
8
kuna vijana wamefanya transfer ya vyuo vikuu mwaka huu lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo .hapa n kwamba chuo kimewakubali lakini majina ya TCU kuja katemwa na ashalipia ada kila kitu .TCU wenyew walisem kwamba chuo kikiwakubal kirejeshe majina TCu ambapo wenyew watayapeleka loan board kwa ajil ya kuhamisha mikopo yao
 
Back
Top Bottom