kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Hili swali mbona liko wazi sana?
Bila ya CHADEMA kuleta tabia yao ya maandamano, kukaidi maagizo ya vyombo vya dola na ugaidi sidhani kama raia wa Tanzania wangeuawa na polisi.
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na sio matakwa ya CHADEMA!
Naomba unijibu haya maswali
1. Bomu la Arusha kwenye mkutano CHADEMA walikaidi amri ya nani?
2.Kuteswa kwa Ulimboka na Kibanda hapo napo CHADEMA walikaidi amri ya nani?