Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
Hili swali mbona liko wazi sana?
Bila ya CHADEMA kuleta tabia yao ya maandamano, kukaidi maagizo ya vyombo vya dola na ugaidi sidhani kama raia wa Tanzania wangeuawa na polisi.
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na sio matakwa ya CHADEMA!

Hamy D
najua chadema ni watuhumiwa no moja, swali langu ni kwamba serikali mbona imekaa kimya huku inatambua chadema wanakiuka sheria ya haki za binadamu? hebu sema kitu juu ya ukimya wa serikali
Dada yangu,
Naweza nikasema ukimya wa serikali ni kwa lengo jema tu!
Kwa maana gani; unajua hapa nchini chanzo kikubwa cha kuanzishwa mfumo wa vyama vingi (ukiachilia mbali shinikizo la US kwa hayati mwl Nyerere) ni kupanua wigo wa demokrasia.
Katika azma hiyo ya kupanua wigo wa demokrasia, sio vyema kufuta vyama vya siasa hata kama vinafanya vitendo nilivyo orodhesha hapo awali.
Bali njia pekee ni kuvilea vyama hivyo vinavyo fanya huo uovu kwa lengo la kuviimarisha zaidi ili viweze kufanya siasa zilizo komaa na za kistaarabu.
Aidha, kwa wale wote watakao bainika kufanya vitendo vya kuhatarisha usalama wa nchi hasa katika uharibifu wa makusudi wa amani na utulivu, hao watachukuliwa hatua kali za kisheria, hapa nadhani umeona jinsi Lwakatare na Kileo wanavyo kabiliwa na mashtaka ya ugaidi.

we mjinga sana, nia njema kwa watuwanaovunja sheria? maana ya serikali ni nini haswa? Na huyu msajili wa vyama vya siasa anafanya kazi gani kukifuta hiki chama au yeye hajui wajibu wake kwa vyama vinavyopelekea uvunjifu wa amani? Hili swali ulilopewa hata mwenyekiti wako wa chama angelikwepa kama sio kulitolea majibu mepesi kama yakoDada yangu,
Naweza nikasema ukimya wa serikali ni kwa lengo jema tu!
Kwa maana gani; unajua hapa nchini chanzo kikubwa cha kuanzishwa mfumo wa vyama vingi (ukiachilia mbali shinikizo la US kwa hayati mwl Nyerere) ni kupanua wigo wa demokrasia.
Katika azma hiyo ya kupanua wigo wa demokrasia, sio vyema kufuta vyama vya siasa hata kama vinafanya vitendo nilivyo orodhesha hapo awali.
Bali njia pekee ni kuvilea vyama hivyo vinavyo fanya huo uovu kwa lengo la kuviimarisha zaidi ili viweze kufanya siasa zilizo komaa na za kistaarabu.
Aidha, kwa wale wote watakao bainika kufanya vitendo vya kuhatarisha usalama wa nchi hasa katika uharibifu wa makusudi wa amani na utulivu, hao watachukuliwa hatua kali za kisheria, hapa nadhani umeona jinsi Lwakatare na Kileo wanavyo kabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Hamy D
najua chadema ni watuhumiwa no moja, swali langu ni kwamba serikali mbona imekaa kimya huku inatambua chadema wanakiuka sheria ya haki za binadamu? hebu sema kitu juu ya ukimya wa serikali
Wendawazimu nyinyiem
Hili swali mbona liko wazi sana?
Bila ya CHADEMA kuleta tabia yao ya maandamano, kukaidi maagizo ya vyombo vya dola na ugaidi sidhani kama raia wa Tanzania wangeuawa na polisi.
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na sio matakwa ya CHADEMA!
Dada yangu,
Naweza nikasema ukimya wa serikali ni kwa lengo jema tu!
Kwa maana gani; unajua hapa nchini chanzo kikubwa cha kuanzishwa mfumo wa vyama vingi (ukiachilia mbali shinikizo la US kwa hayati mwl Nyerere) ni kupanua wigo wa demokrasia.
Katika azma hiyo ya kupanua wigo wa demokrasia, sio vyema kufuta vyama vya siasa hata kama vinafanya vitendo nilivyo orodhesha hapo awali.
Bali njia pekee ni kuvilea vyama hivyo vinavyo fanya huo uovu kwa lengo la kuviimarisha zaidi ili viweze kufanya siasa zilizo komaa na za kistaarabu.
Aidha, kwa wale wote watakao bainika kufanya vitendo vya kuhatarisha usalama wa nchi hasa katika uharibifu wa makusudi wa amani na utulivu, hao watachukuliwa hatua kali za kisheria, hapa nadhani umeona jinsi Lwakatare na Kileo wanavyo kabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Dada yangu,
Naweza nikasema ukimya wa serikali ni kwa lengo jema tu!
Kwa maana gani; unajua hapa nchini chanzo kikubwa cha kuanzishwa mfumo wa vyama vingi (ukiachilia mbali shinikizo la US kwa hayati mwl Nyerere) ni kupanua wigo wa demokrasia.
Katika azma hiyo ya kupanua wigo wa demokrasia, sio vyema kufuta vyama vya siasa hata kama vinafanya vitendo nilivyo orodhesha hapo awali.
Bali njia pekee ni kuvilea vyama hivyo vinavyo fanya huo uovu kwa lengo la kuviimarisha zaidi ili viweze kufanya siasa zilizo komaa na za kistaarabu.
Aidha, kwa wale wote watakao bainika kufanya vitendo vya kuhatarisha usalama wa nchi hasa katika uharibifu wa makusudi wa amani na utulivu, hao watachukuliwa hatua kali za kisheria, hapa nadhani umeona jinsi Lwakatare na Kileo wanavyo kabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Katika matukio yote kwani kaua? Sio Chadema wala CCM bali serikali! Ndiyo yenye dhamana ya kuwahakikishia raia usalama wao na malizao! Kama isingekuwa Polisi kutumiwa kisiasa na CCM haya yote yasingetokea! Wa kulaumiwa ni serikali ya ccm.Hili swali mbona liko wazi sana?