Nani akae meza kuu?

ha ha ha nawe wa huko nini? nshawahi kukaa huko katika story na watu ni watu wengi sana wapo hivo baba na mama wameachana baba kaoa mama kaolewa walokuwa wakinambia ni vijana tu wa secondary wamalelewa na bibi zao

Ha ha hapana, kuna connection nilitaka kuifanya hapa, ya ile thread ya wanawake wa Singida, nilichokiona kwa macho nilipotembelea vijiji vya huko, na point yako hapo!
Thanks, Upelelezi unaendelea.
^^
 

The issue is very simple but some people likes to exaggerate things....
Wote wanne wake high table...
 
Mambo ya Kiafrika bana yaani shida tupu...

Kila mtu anataka aonekane kinara na ukichukulia poa tu, huo msala wake hautuliziki...

Anyway jibu ni jepesi, mzazi yoyote aliyehusika kupanga na kula mahari ndiye anapaswa kusimama kama mzazi hata hapo high table...

Kama madingi wote wawili walivuta mahari basi wote wawekwe mezani...
 

Hapo kwenye red vipi unafanya ibada nini mkuu
 
Mambo ya Kiafrika bana yaani shida tupu...

Kila mtu anataka aonekane kinara na ukichukulia poa tu, huo msala wake hautuliziki....

Mijiafrika ndivyo ilivyo!!!

Watu wanagombea kukaa high table za utajiri na tuzo mbalimbali za mafanikio kwenye tasnia fulani

Sisi tumekomalia kukaa mbele kwenye harusi

Smh!
 
haya mambo yanasumbua vijana sana siku hizi

Thus y I hate wanaozaa na waume za watu, na wanaozaa nanmtu ili amuoe mwisho wa cku anaachwa mtt anapekejwa kwa bibi!

Though najua kuna ndoa zinazovunjika zikiwa na watt!
Hii case nyingine. ..

Bt hao hapo juu, jamaa think twice vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…