Nani ajaye?

Nani ajaye?

Mnyalu wa Kweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
233
Reaction score
55
Nimekuwa nikijiuliza swali moja ambalo imekuwa ngumu kupata jibu. Hivi wakuu mmekuwa mkijiuliza ni nani atawakilisha CCM kwenye urais 2015? Kwa harakaharaka sijamuona maana naona kama wote ninaowafikiria wananchi hawatawakubali- Can u think of Salim Ahmed Salim, Sumaye,Membe, Dr Asha Rose Migiro or Magufuli? Or any from Zanzibar?Salim angekuwa hakuchafuliwa 2005 huenda angetoa ushindani. Hata hivyo nadhani 2015 ni Chadema tu.



Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Kila ninamfikiria naona kama ana mapungufu makubwa sana kiasi kwamba jibu linabaki chadema tu
 
Ni swali zuri lkn ni swali ambalo linaonekana gumu sana
 
Back
Top Bottom