Nani ajaye?

  • Thread starter Mnyalu wa Kweli
  • Start date

M

Mnyalu wa Kweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Messages
233
Likes
48
Points
45
M

Mnyalu wa Kweli

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2010
233 48 45
Nimekuwa nikijiuliza swali moja ambalo imekuwa ngumu kupata jibu. Hivi wakuu mmekuwa mkijiuliza ni nani atawakilisha CCM kwenye urais 2015? Kwa harakaharaka sijamuona maana naona kama wote ninaowafikiria wananchi hawatawakubali- Can u think of Salim Ahmed Salim, Sumaye,Membe, Dr Asha Rose Migiro or Magufuli? Or any from Zanzibar?Salim angekuwa hakuchafuliwa 2005 huenda angetoa ushindani. Hata hivyo nadhani 2015 ni Chadema tu.Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Wasajo

Wasajo

New Member
Joined
May 11, 2015
Messages
2
Likes
0
Points
0
Age
23
Wasajo

Wasajo

New Member
Joined May 11, 2015
2 0 0
Kila ninamfikiria naona kama ana mapungufu makubwa sana kiasi kwamba jibu linabaki chadema tu
 
Wasajo

Wasajo

New Member
Joined
May 11, 2015
Messages
2
Likes
0
Points
0
Age
23
Wasajo

Wasajo

New Member
Joined May 11, 2015
2 0 0
Ni swali zuri lkn ni swali ambalo linaonekana gumu sana
 

Forum statistics

Threads 1,252,094
Members 481,989
Posts 29,795,184