Nani ahame CCM kati ya Kikwete au Makamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani ahame CCM kati ya Kikwete au Makamba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by backer, Feb 6, 2011.

 1. b

  backer Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAKAMBA:; Anayepinga malipo ya DOWANS ruksa kuhama chama cha mapinduzi CCM
  KIKWETE:; Mimi siitambui DOWANS na ninapinga malipo ya DOWANS..........:msela:

  sasa hii ina maana gani? na tunapata picha ya namna gani kutoka kwa hawa viongozi wa ngazi za juu kabisa wa chama cha mapinduzi, ambacho pia ndicho chama tawala nchini? je kikwete anatakiwa kukihama chama au makamba a-step down kwa kumdhalilisha mwenyekiti wake? na kama ikiwa wote ni wahuni just confusing innocent people sababu wanjua kila kitu?...........:bump::bump:
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  teh teh. Wabongo watamu kuwayeyusha. mdogo mdogo tu tunawavuruga akili mpaka wasahau. mara katiba, dowans, richmund, katiba, udini, mkukuta, .............
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wahame wote. Hatuwataki!
   
 4. K

  KONDOO Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wote ni vichwa vya panzi ccm, they cannot remember what they said last time this very serious issuse. in wepesi wakusahau mambo.
   
 5. f

  freddielly Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  word !!!!
   
 6. s

  seniorita JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Buying time of course; both are the same, they may seem to contradict each other, but they just give reason for people to have issues to discussion each day...and time goes on watu wakiendelea kujirusha.....
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  hao ni Gagulo na Sidiria...
  Zote nguo za ndani.
   
 8. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Watoke wote kwa uhai wa chama!
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Yupi Gagulo sasa?? nadhani labda sidiria kulikoni Gagulo
   
 10. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huwezi kumwita rais kichwa panzi wakati aliwashinda wenzake 2005 ndani ya CCM

  AHAME MAKAMBA ILI KUKINUSURU CHAMA.
  Nimekuwa mwana ccm mzuri ila simkubali kabisa MAKAMBA kwani amekidhalilisha chama mara kadhaa kwa kauli zake.Mnyonge mnyongeni ila haki mpeni.  NAAPAA NAAHIDI MBEE YA CHAMA MAPINDUZI NI CHA KULINDA MPAKA KUFA
   
 11. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni bora Mzee Makamba astaafu siasa, atyajiepusha na mengi cz ile age ya kusahau vitu do ameshaifikia
   
 12. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is better both of them to step-down!!!
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Lakini mjomba,
  Hii kauli umeipata wapi?...sikumbuki ni lini JK alisema haitambui Dowans!...
  Pia hakutamka kuwa anapinga malipo ya Dowans, bali kwamba serikali itakuwa na subira, na kuwa ameteua wanasheria walichunguze suala hili kwa macho ya kisheria!
  Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni!
   
 14. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wahame waende chama gani?sidhani kama kuna nafasi zao Upinzani, wabaki huko huko ili watanzania waone uozo wao ili wafanye maamuzi haraka ya kuwapindua
   
 15. S

  STABLE GIRL Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! Hii kaaaaaali mpaka raha. Yaani viongozi wetu wanageuzwa na vijiupepo viduuuuuuchu!!! Mh! Nani ndo nani hapo mwenyekiti na katibu wake washalala chaliiiiiiiii
   
Loading...