Nani Actor mkali kati ya hawa wawili

Nani Actor mkali kati ya hawa wawili

Magaidi washaanza kutuchokoza,yaani Mungu wetu mnamuita muigizaji si uchokozi huu?????.
images
Nawe si miongoni mwao?
 
Duh!! Mungu tusaidie kumbe yule yesu wa ile muvi ni njemba ya pale London!?

Bora wangetuachia tu maandishi kulilo kutuwekea sura ya mwanadamu, sasa wengi wetu tukisali inakuja picha ya Brian deacon..hakyamungu!
 
Naziona dalili za watu kuja kupishana na Yesu wakimtafuta Deacon
 
Hahaha nahuenda alisharudi akaona watu hawana habari nae akasepa. But lazima ishara ziwepo hawezi rudi kimyakimya tu.
 
Duh!! Mungu tusaidie kumbe yule yesu wa ile muvi ni njemba ya pale London!?

Bora wangetuachia tu maandishi kulilo kutuwekea sura ya mwanadamu, sasa wengi wetu tukisali inakuja picha ya Brian deacon..hakyamungu!
Na ndio maana Waislam huwezi kukuta sura ya Muhammad hata kwa bahati mbaya.
 
Duh!! Mungu tusaidie kumbe yule yesu wa ile muvi ni njemba ya pale London!?

Bora wangetuachia tu maandishi kulilo kutuwekea sura ya mwanadamu, sasa wengi wetu tukisali inakuja picha ya Brian deacon..hakyamungu!
Kwenye ile movie wamekosea kuweka sura ya mchizi, ilibidi asionekane sula mwanzo mwisho.
NB: Face= sura, sula
 
Duh!! Mungu tusaidie kumbe yule yesu wa ile muvi ni njemba ya pale London!?

Bora wangetuachia tu maandishi kulilo kutuwekea sura ya mwanadamu, sasa wengi wetu tukisali inakuja picha ya Brian deacon..hakyamungu!
Pole Sana ndugu
 
Back
Top Bottom