Ni watu wawili tofauti huoni hata majina ni tofautiKwani Ngonjeni kwanza ina maana hawa ni watu wawili tofauti mbona me najuaga movie ya jesus imeigizwa na mmoja tu
Acha kuweka oicha ya Mungu Mwana na kumfananisha na waigizaji wa ulimwenguni huyo wa kwanza ndie tumuabudiye.Toa maoni yako.
akirudi mweusi wemgi watamkataa mwana wa Mungu kwa mara nyingine.Hahaaaaa nakwambia na kizazi cha sasa tunavyoamini jesus atarudi basi naamini wengi wanaamini hiyo ndio sura yake.
Sio lazimaKwahiyo hata unapo sali image lazima ije ya Deacon