Nang'atuka rasmi kutoka CCM

Ongeza vifo hivi
f). Gibson Mwaikambo
g). Professor Mwaikyusa
h). Stan Katabalo
i). Horace Kolimba

Wengine endelezeni
Prof Mwaikyusa aliuwawa na Idara ya usalama wa rais wa Rwanda wakishirikiana na TISS. Hii ilikuwa kwa ajili ya kupoteza mwenendo wa kesi aliyokuwa akiisimamia kule ICTR Arusha iliyokuwa ikimuhusu Mtuhumiwa wa mauaji ya Rwanda.
 
Wewe utakuwa siyo wa kwanza kuhama! Khila la kheri uko uendako!
 

Kaka sina tamaa na wala hao ccm sijawai hata kuvaa tisheti zao za bure, pia mm si mtoto kama unavyofikilia, nina umri wa miaka 36, so nina akili za kunutosha
 


Mkuu mpaka leo kifo chake still ni fumbo kwangu,mbaya zaidi kifo chake kilitokea wakati yeye na chama chake wakiwa in bad terms!Nilishindwa kutafsiri moja kwa moja kuwa chama chake kinahusika lakini uamuzi nilioamua ni kuwa raia huru tu!!Siasa za Tz ni laana aisee!!
 

Ama kweli mwanajamvi Huo ni uamuzi wa busara, kweli hata kwa hali ya kawaida mtu hawezi kufa leo halafu leo leo mtu anatoa nyimbo za kuomboleza? Alipataje taarifa kwamba baba yetu kafa! Nae komba alijuaje mpaka kwenda kutunga nyimbo? Komba anahusika na pia kikwete nae anahusika kwa upande mwingine akiwa mwenye dhamana ya uwaziri wa mambo ya nje!
 

kweli upo mshirikina wewe...utofautiani na user yako....!!!!!!!!!
 
Mkapa ndiye aliyesema Leukemia. Madaktari ni no no no no noi? Sisi tunaamini aliuwa kama hao wengine kwenye list.

Pia tukumbuke baada ya kifo cha JK ORIGINAL ambacho naamini shinikizo lilitoka majuu kwa sababu Mwl alikua anazuia uwekezaji kotoka nje kwenye madini yetu hadi tutakapo kua tayari kuyasimamia si wenyewe, baada ya kifo tu! mikataba mikubwa ya kitapeli iliingiwa kwa manufaa ya wachache ndani ya CCM. Kamwe sitaamiki alikufa naturally
 
kamugisha nakpata vzr sana,we ni mweupe au mtupu kichwani!weka namba yako ya uanachama hapa ya ccm,acha porojo,

Usiweke namba yako halisi utaingia kwenye orodha ya akina kolimba.
 
Tangu awali Mi binafsi nimeshajuaga hawa ccm ni wauaji wa kimafia ila nilikuwa naisubiria siku km hizi sifike na hakika imefika.

ccm ni janga la Taifa letu tena tusipoipotezea mbali hakika watatuuza wote ndani ya nchi yetu tukiwa macho hv hv

Mi naichukia ccm toka ndani ya nafsi yangu.
Na hii ya uaji wa Baba wa Taifa imenigusa sana tena sana.
Mwisho wao waja!
 
Kwa nini vifo vya wanasiasa wengi vinaongelewa sana wakati wa kampeni za uchanguzi? Je, wahusika wanao ongelea vifo hivyo wanauchungu na vifo hivi au wanatumia vifo hivi kama mtaji wa kisiasa? Kama sababu za vifo hivi zinatumiwa kama mtaji wa kisiasa nani mnayemtaka aamini kuwa vifo hivyo vimetokana na sababu mnazozitaja?
 

Wenzio tulishakimbia muda mrefu huko Mafioso style of leadership ndio inatawala hakuna jengine.
 
Usiweke namba yako halisi utaingia kwenye orodha ya akina kolimba.

Nimekusoma sana mkuu, huyu jamaa anataka kunikolimba, hataniweza anajisumbu, alitaka nimpe namba yangu ya uhanachama
 
Ta Kamugisha

kama unaona hakuna chama sasa chenye sera ya kukushawishi vipi ukionana na TENDWA ili usajiri chama kipya chenye sera unazo taka mwenyewe.

Ilo nalo neno, ila bado sijalifikiria maana kama vp nataka kutoka kabisa kushabikia chama chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…