Nang'atuka rasmi kutoka CCM

ni uamuzi mzuri,
leo nimelia sana kusikia kuwa ben alimwua mwl.
miwani imelowa machozi, lol.

Mbali na kulia nimejitoa kwenye chama, nkumbuka nilivyolia wakati naumwa! then nkumbuka mkapa alivyokuwa anatusanifu, mpaka najiuliza kapt komba alitumia muda gani kuandaa nyimbo na kutoa album! alijuaje kama mwalimu anakufa mpaka akarekodi nyimbo zote za album nzima? hapo ndo nachanganyikiwa!
 
HOW STRANGE FOR THE 'EMINENT' AFRICAN LEADER MKAPA STRIPPING-OFF THE NYERERE CLAN BEDROOM-ISSUES ON A PUBLIC POLITICAL PODIUM IN ARUMERU MASHARIKI, WHO TO BLAME???

Uchungu wa Baba wa Taifa tunaujua WaTanzania tunaozulumiwa na CCM kila kona ya taifa hili.

Hata siku moja tusisikie mwana Ukoo wa Mwalimu Nyerere yeyote yule KAPATWA NA HOMA WALA KWIKWI baada ya taarifa hizi sasa kuwekwa hadharani kutokana na kubwatuka ovyo kwa Mzee Mkapa huku akidhani ni sifa.

Nasema siku zote wahenga hututaadharisha kwamba mtu UNAPOISHI KATIKA NYUMBA YA KIOO HATA SIKU MOJA USIPENDE SANA MCHEZO WA KURUSHA MAWE ovyo!!!

sipati picha jinsi alivyovimba huko...anatamani ingekua ndo enzi zake yupo madarakani pangechimbika.
 
Ta Kamugisha, waguma?

Kwa hiyo Mkuu unataka nami niamini kuwa Jk Nyerere aliuawa na wala si kwamba aliugua Leukemia? Nadhani wewe umeamini na ndio maana imekuwa ni sababu ya kujitoa kwenye chama chako. Haya bwana nyegera kwetu tusiokuwa na vyama.


iTS ALL ABT POLITIKS UUHHH....
I DID NOT NEED ANYONE TO TELL ME THIS ,,,, THT NYERERE WAS MURDERED BY THE GREEDY MKAPA
WAT WAS UR IMPRESSION WEN TANZANIA GAVE ALL OF HER INVESTMENTS TO CAPITALISTS NAMED A GOOD NAME ''PRIVATIZATION'' IMMEDIATELY AFTER NYERERE''S DEATH
BECAUSE THE SO NAMED PRIVATIZATION SPEED WAS UNEXPLAINABLE IT WAS AS IF THE PROCESS WAS PRE PLANNED FOR YEARS BEFORE ........

HADI ILIKUWA INASIKITISHA KWANI UNAJIULIZA HIVI KWA NINI WANAUZA NBC BIL 15 TZS KUNA HARAKA GANI?
UKIMUULIZA MKAPA ZE KUPE EXECUTIVE BY THEN ANAKASIRIKA BILA YA SABABU.....

WALIMUUA OFCOZ HATA MAMA MARIA ANAJUA HILI ......
 
Isije ukawa unafanya maamuzi kama hasira za mkizi baharini.
 
umechelewa sana kutoka humo ila maneno mengi ya nini si utoke tu
 

unaweza kuwa mkubwa kiumri lakni kiakili ukawa mdogo, ushaidi atautoa vicent atakaposhtakiwa na mkapa, kuhusika c lazma uue! unaweza kusaidia au kutoa ruhusu ya kuuawa mtu fulani, kwani jk akitoa ruhusa ya mtu kunyongwa anakuwa ameua au amehusia kuua?
 

Horace Kolimba naye ilikuwaje ?
 

hongera sana,naona namba ya kadi umeweka lakini kuna watu humu eti hawaioni
 
Ta Kamugisha, waguma?

Kwa hiyo Mkuu unataka nami niamini kuwa Jk Nyerere aliuawa na wala si kwamba aliugua Leukemia? Nadhani wewe umeamini na ndio maana imekuwa ni sababu ya kujitoa kwenye chama chako. Haya bwana nyegera kwetu tusiokuwa na vyama.

kimbunga leukemia inawea kua induced na sumu
 
Hakuna kifo kilichoniuma kama hicho aisee!Siyo siri kifo hiki kilinisababisha niwe mwananchi huru nisiye na chama mpaka leo!!

kabla sijajiunga CDM kwa nini mbowe wanasema alimuua Chacha wangwe? kama mbowe ni kweli anahusika au jamaa yeyite wa CDM sasa hii ni hatari chama cha upinzani kisichokua na dola kuua wasiowataka je wakichukua dola anani atamzuia mbowe kuua zaidi? tunaona mafisadi waliokubuhu wa CCM wakiua au kutaka kuua wenzao na hapa wakiwa na network na dola nyuma yao sasa hawa wa CDM inanipa shaka kubwa na kupenda madaraka kwa mbowe et el
 
Kwanini umetoroka Milembe?
?
 
Mkuu nimejiuliza swali kama lako kuhusu zile nyimbo za Komba, alijuaje kama mwalimu atakufa mpaka akaandaa nyimbo nyingi vile?....

Kweli damu ya mwalimu itamlilia Mkapa milele!
 
(d) Kifo cha Halima Chifupa Utata mtupu mpaka leo............Mhusika ni CCM

mwenye hili jina ndio nani au mleta mada amelewa kidogo.
 
"Changia bila kutukana"

kwa nini unatoa masharti wakati we umetukana,unataka kusema we ni wa maana kuliko wengine???
 
"Nilijiunga na CCM Mwaka 1999 nikiwa Form 4"

"Nipeni ushawishi wa kutosha"


wewe akili yako bado changa,haijakomaa na haujawa mtu mzima bado

pili wewe ni mtu wa tamaa tamaa tu
hauna msimamo,

unafuata upepo,unavovuma ukivuma kuelekea kaskazini unageuzwa,na ukielekea kusini nawe umo.
 
Naona kaiweka au we unataka namba ipi? au uko shocked. au unaangalia escaping from sobibo imekutisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…