Nang'atuka rasmi kutoka CCM

Wewe siyo mwanachama wa CCM, ndiyo maana hata hujui kuwait Hayati Karume ailiuaw kabla ya kuzaliwa kwa CCM. Ulivyo na mawazo ya kishirikina hakuna anaekufa au kufariki bila kuuawa. Wewe ni Chadema damu ambae ungependa kuona umwagaji aw damu katika nchi yetu. Unasema Nyerere ndiyo model wako, lakini unapingana kabisa na kile alichokiamini yaani haki kwa njia ya Amani, na alikuwa mkweli ili Hali wewe ni mwongo.
 

kuna mhaya mmoja jirani yangu ni kilaza kweli
 
Ongeza vifo hivi
f). Gibson Mwaikambo
g). Professor Mwaikyusa
h). Stan Katabalo
i). Horace Kolimba

Wengine endelezeni


Mkuu unamaanisha Prof Juan Mwaikusa yule aliyekuwa mwanasheria?Kama ni hivyo mkuu hapo umechapia,huo ulikuwa ni mkono wa Kagame na masuala ya 1994 Genocide,Magamba hawahusiki hata kidogo hapo!!
 


Hakuna kifo kilichoniuma kama hicho aisee!Siyo siri kifo hiki kilinisababisha niwe mwananchi huru nisiye na chama mpaka leo!!
 
Na watu waliokufa muhimbili kwa sababu ya mgomo wa madaktari nayo chanzo ni CCM.
 
Unahama chama kisa tetesi?
Nenda kawavuruge na hao pia.
OTIS
 

Mod,

Huyu jamaa kapataje usenior member na post 87???

Mtoa hoja na huyu bwna hawana tofauti??
 

kumwaga damu kumetoka wapi? soma vzr kijana nimekwambia mm nilikuwa mwana ccm damu, nkudanganye ili iweje? niwe mwanachama wa chadema ili iweje? nimejipambanu kwa ufasaha, na nkasema atakaye nivutia na sela yake najiunga na chama chake, wacha kutumia umasaburi kufikiria
 
 

Mkuu hata yale mabomu yalioua lundo la watu kule gongo la mboto na mbagala ni uzembe wa mkuu wa kaya. Aliambiwa mapemam sana kuwa hali itakuwa mbaya ila akashangaa na kutabasam kama kawaida yake
 

Mbona ukienda kanisani unatangaza kuokoka? na mbona watu wanatangaza kuama vyama tena majukwaani na kwa mbwembwe na kufanyiwa sherehe? hapo mm nimekosea nn kujitangaza kuhama chama?
 

Mimi mpaka leo siamini kama J. K. Nyerere alikuwa anaumwa. Ilikuwa gafla sana na kuna mtu aliwahi niambia kuhusu hii inshu na Nyerere alikataa kwenda kutibiwa inje akijua hatapona. RIP J.K wa ukweli
 
Mkuu unamaanisha Prof Juan Mwaikusa yule aliyekuwa mwanasheria?Kama ni hivyo mkuu hapo umechapia,huo ulikuwa ni mkono wa Kagame na masuala ya 1994 Genocide,Magamba hawahusiki hata kidogo hapo!!

Kwa uwezo wa TISS ya nchi yetu, Kagame hawezi kutuma vijana wake wakafanya mauaji yale bila Mkuu wa kaya kutoa kibali.
 

Damu ya mtu haipotei au haimwagiki bure! ipo cku tu itaongea! na inaongea kupitia kwa mtu, kama alivyofanya v nyerere.
 
Juma Kapuya, je yuko wapi profesa wetu mchapakazi?
 
na wengine ambao wanang'atuka na huyu muheshimiwa tunawatakia safari njema na mawazo na fikra zenu ambazo hazina udhibitisho wa kimazingira wala nini..ni kama wasomi walio lundika vyeti na vyeti ndani na mtaani wanaheshimika na wao wakiongea na kuandika huonekana wanafanya kile cha maana tu lakini hii leo mtu anakwambia anang'atuka na sababu zake anaziorodhesha yumkini ana ushahidi...hivi mkubwa me sikuweki kundi tofauti na wale watu ambao wakipita mahara kuna harufu mbaya au mtu kachafua hewa wanatema mate badala ya kupenga kamasi...afu ukimuuliza kwa nin unatema mate?ati anakwambia husikii harufu mbaya...fikiri unaposoma hii post we unayejiengua chamani ili unielewa pongezi nilizokupongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…