Nang'atuka rasmi kutoka CCM

kama kweli una imani haba kwamba ipo siku binadamu lazima tufe kwenye orodha yako ongeza na vifo vifuatavyo:-

1. Ragia Mtema
2. Chacha Wangwe.
3. mgombea mwenza wa chama fulani aliyesababisha kuahirisha uchaguzi mkuu mwaka 2005.
4. Abeid Amani Karume
 
Wakati unaingia CCM hukufahamu kwamba Sokoine alifariki kipindi cha Nyerere?

Wewe umeingia CCM kwa wrong reasons za kumfuata Nyerere badala ya kufuata sera za Chama na kama unaenda Chadema kumfuata Slaa ndugu yangu na huko ujue utatoka soon.

Kumbe kuna wengi wanaofikiria kwa kutumia M.A.S.A.B.U.R.I humu ndani ya JF, nani kakwambia nimeenda CHADEMA? Nimekwambia tangaza sela zako na zinishawishi kujiunga na chama chako, mpaka sasa sijahamua kujiunga na chama chochote.
 

Ngoja niikopi, maana itafutwa sasa hivi.
 
Kaka tulitangaziwa na chama na serikali yetu kuw jamaa amekufa, hapo tumwamini nani?
Huyu jamaa ni mzima wa afya njema, hajafa. Kwasababu zifuatazo:-
1. Kifo chake kilitangazwa tu na serikali ya CCM, baada ya kuhojiwa na CCMISS. Hakuna hospital yoyote nchini marekani iliyothibitisha kifo chake.
2. Katika daftari la vizazi na vifo, hajaandikwa huko marekani alikofia wala Tanzania alipozaliwa.
3. Mpaka leo hakuna tangazo la mirathi lililotolewa na mahakama yoyote (reason: hakuna cheti cha kifo)
4. Ndio msiba wa usiri zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania (Hakuna ndugu yoyote aliyeruhusiwa kuuona mwili wa marehemu).
5. Wakati wa kuwekwa kaburini (kama lipo) hakuruhusiwa mwanafamilia yoyote kushuhudia.
6. Katika hali ya kushangaza zaidi, mama wa marehemu (hewa) alifungiwa ndani, ni ilikuwa ni kwa kibali maalum toka Ikulu (c/o BOT) ndipo mtu aliweza kumwona na kumpa pole chini ya uangalizi wa CCMISS.
7. Waandishi wa habari hawakuruhusiwa kuonana na ndugu, ila kwa kibali maalum na chini ya usimamizi mkali.
IWAPO WATANZANIA WALIWEZA KUPATA FURSA YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA WA TAIFA, KULIKONI KWA MWIZI WAO MKUU DAUDI BALALI. KULIKUWA NA UNYETI GANI KWA MWILI HUO KIASI KWAMBA HATA MAMA YAKE MZAZI ALIKATALIWA KUUONA? BALALI YU HAI.
 
Samahani sana kama ntakuhudhi, haya ni maoni yangu toka moyoni na sikushawishiwa na mtu yoyote:
MyTake: Changia bila kutukana.

Jifungie ndani ulie weeee ukija kunyamaza utakuwa unajiskia nafuu badala ya kupaka Chama Chako Mavi
 

Tofautisha kuua na kuhusika kijana, hacha kutumia M>A>S>A>B>U>R<I kufikiria
 

Ushahidi gani unaoutaka?kwani Nyerere yupo?
 
Jifungie ndani ulie weeee ukija kunyamaza utakuwa unajiskia nafuu badala ya kupaka Chama Chako Mavi

Nimekwambia changia bila kutukana! Kweli unawaza kwa kutumia M>A>S>A<B>U<R>I
 

Kaazi kweli kweli, kwani mpaka sasa hao ndugu wa balal bado wanatembea na walinzi? Kwanini hawasemi ukweli mpaka sasa?
 

Evidence kuhusu vifo ni siasa tupu, ww aliyekuambia alikufa kwa leukemia alikupa evidence? na kama alikupa evidence ulithibitisha uhalali na usahihi wake? Wanaofanya haya wanafanya wakijua evidence hazipatikani. Na katika hili ni evidence gani ulihitaji? Subiri Marehemu akifufuka atakupa evidence kwani za Mkapa hatuziamini-alichakachua! Hakuna siri ya milele duniani, fanyeni mkijua hilo kwani hata mafisadi waliamini wame-conceal, mwisho wa siku ni aibu mpaka wanaumwa-MUNGU HAMFICHI MNAFIKI
 
Jamani kwani balali kafa? Mie sijui kama kafa wenye taarifa za kifo cha balali tujuzeni? Chanzo cha kifo chake? Alizikwa wapi? Wekeni na picha ili tuamini wakiaga mwili!! Nakupongeza kwa kuondoka sisiemu ingawa haujachelewa sana!
 
kamugisha nakpata vzr sana,we ni mweupe au mtupu kichwani!weka namba yako ya uanachama hapa ya ccm,acha porojo,

C lazima niiandike yote, ndo maana nkatoa nafasi ya wao kunishawishi nibaki kuwa vitendo hivyo havikufanywa na ccm, na nikatoa nafasi kwa wapinzani wanishawishi, nadhani umenielewa.

Na kwa taarifa yako, hakuna Mhaya yeyote yule ambae ni Mweupe kichwani hata kama hajaenda shule na kwa taharifa yako tu mimeshapita kwenye ngazi za degree, sawa dogo. Hivyo si mweupe kichwani kama unavyofikiria.
 
.....Bora uende kwani ulikuwa mzigo mzito usiobebeka..........ha ha ha ha
 
Duh mwenzetu ulitumia ujanja gani hadi ukawa mhaya???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…