Jembe na Nyundo!Sawa kabisa mkuu pia wahudhuriaji nao umewaona??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja waje waliohudhuria hiyo nane nane
Nimegundua kuwa CCM bado bonge la chama!Kama ni Great Thinker niambie umegundua nini kwenye hii picha iliopigwa siku ya Nanenane huko Simiyu kijijini NyakabindiView attachment 838177