oa kila nikupeamo pango lako ujifiche we oa tu! lol, kwani na wewe ni ROBERT MBOYA?? KHAAAAAA! ukipata picha ya robert tuwekee hapa, najua album yako ina mafoto ya kufa mtu, khaaaaaa!Naomba nikuoe tena mke wangu.
wivu sina mieeeeeeeeeeee....
kura zote nampigia hubby wangu Asprin.....
nitarudi baadae kutangaza matokeo kwa mamlaka niliyopewa na jamhuru ya watu wa jamiiforums.... naelekea jukwaa la stress kidogo
Na mie niko hapa nataka kujua ukweli wa hii habari babu!Uzuri huwa siongeagi mimi. Yummy ukiambatana na wenzio BADILI TABIA na cacico hebu mkuje pande hii mkiri au mkanushe huu uvumi.
Hahahha hahhhha hahhha hahhhahah!
Pole zake babu yangu kipenz Asprin zimfikie popote alipo asijali sana kwan hata hao wawili aliobaki nao si hapa watamfuta machozi na kumsahaulisha machungu ya kibuti lol!
Hongera Mr Rocky kwa kurudiana na mkeo Yummy lol!
Ila itakuwa vizuri km mkeo atakuja na kuthibitisha hili na babu Asprin naye akaja na kukiri kuachika kwake lol!
mwahhhhhh Cantalisia! sio unakuwa na kichwa kigumu ka AmKATRINA!
Cantalisia umekomalia issue balaa! lol, haya we Yummy waitwa huku, lol
Cantalisia naomba usiongee kitu we endelea kula burudani tuuHahahaha hahhhhaahahahhaha hahhhhahha!
Hapa naomba niishie kucheka tu lol!
Namsubiri Yummy aje aseme vhochote kwan babu keshasema yeye haongei kitu lol!
cacico dia sio km nakomalia ninachotafuta hapa ni ukweli kwa pande zote mbili na kumaliza huu utata na Yummy ajulikane nani ndio anammiliki atiiiiiiii!Cantalisia umekomalia issue balaa! lol, haya we Yummy waitwa huku, lol
we mtoto umeshajifungua?...
nimeambiwa uko labor unatolea babu kiumbe chake...
hiyo tu bby wangu! count umepata! utamuita nani?? nitakuzalia ASAP!Naomba unizalie baby boy.
tobaaaaaaaa!nanyonyesha....
Babu Asprin kashaapewa vidonkge kule na Yummy
niko nae hapa roho swafi kabisa Cantalisia we acha tuu raha ta kuw ana mke ni kubwa sana aise haswa mke mwenyewe Yummy
Sijawahi wala haitokaa itokee nikamwagwa wala nikamwaga. Mi nikioa ni FULL TIME 4WD