NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

kura kwa Bishanga
Ayaaaa... kura imeharibika hii..

ila muandiko wangu haubaliki hubby, umeona ee??
Hakuna chako kinachoharibika my love... Hata jana usiku wakati wa naniliyu nlifeel joto na mnato uleule kama wa siku ile nlipokukatia utepe wako... Ndo maana nasema SIKUACHI NG'OO!!
 
Mhhh nimekosa wa kumpigi akura maana Asprin nina league nae Kaizer duh nimecheka mbavu sina hapa ila hebu ngoja kwanza nione kama naweza mpa kura ila tuna ubishi juu ya AmKATRINA Bishanga alimuahidi my former wife Yummy kumletea senene mpaka leo sijawaona hivyo wife wa zamani kaniambia kura nisimpe
Afadhali nitoe kura yangu kwa Dark City
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kinyang'anyiro kimekaa vizuri...
japo kwa upande mmoja nimeona mshindi tayari
ila kwa upande wa viburudisho (wadada) naona mpambano ni mkali...
wote wako moto...
anyways hayo si yangu...
mimi ni mdhamini....na kwakua ni siku ya wakulima, creti la bia nitakalotoa ni BALIMI BEER
 
Sasa huu ndio unaitwa unoko! Hata Nokia ya Tochi unaiwekea ulinzi shirikishi??

 
Sasa huu ndio unaitwa unoko! Hata Nokia ya Tochi unaiwekea ulinzi shirikishi??

Asprin hiyo ina camera japo ni ya tochi
Inatumia BBM au unataka nikutumie pin yangu ya nokia tochi
niinvite kwa kutumia hii pin ya BBM ya nokia ya tochi 22ASPRIN33
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Am back now Mr Rocky majukum tu yalitishika kiana,
Am happy to c u kwa mara ingine aisee!

BTW mpe babu Asprin kura bana anataka apate ushindi japo shindalo lenyewe nalihisi km liko kiupendeleo flan!
Cantalisia tuna league nae kwenye issue ya Yummy
anasema mimba ya Yummy ni ya kwake wakati mimi napinga Asprin analijua hilo ndo maana simpi kura yangu
karibu sana aise tulikumiss sana kama AshaDii nae alivyopotea
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…