Nane nane na balton Tanzania limited

Nane nane na balton Tanzania limited

Kalimati

Senior Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
149
Reaction score
46
Aisee balton wako vizuri kwenye maswala ya kilimo. Wana drip irrigation systems, madawa, mbolea, wataalamu wa kilimo. Dodoma, Arusha na Morogoro watakuwepo kwenye nane nane.
www.balton-tanzania.com check upate more updates.
 
Tangu 1960's todate bado wako Dar na Arusha tuu??
Wakulima kweli wako Dar? Waende Mbeya, Mwanza, Sumbawanga etc.
 
Je unafahamu sio lazima uwe na shamba au eneo kubwa au kuwa mkulima kujipatia mboga mboga za majani nyumbani? Kujitengenezea kipato cha kila siku n.k ? Tembelea www.balton-tanzania.com ili upate kujua zaidi. View attachment 104122

Tanzania nzima wapo ila tu office zao zipo arusha na dar kwa sababu zao wenyewe.
 
Balton wasanii sana mimi ni mdau mzuri sana wa Irrigation system Nimejaribu kuwatafuta tuweze kufanya Joint Venture lkn wapi hawapokei simu zangu email hawajibu website haijawa updated kitambo hicho....Shame On them
 
We unahitaji joint venture , wao wanahitaji pesa. Unafikiri mtaelewana?
 
Back
Top Bottom