Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,500
- 9,819
Juma lokole, maimartha, na carry ma story, hivo vichwa vina connection chafu hapa mjini tungejuzwa tu niamini kaka.Ni Nandy sio Namdy.. BTW kuchapiwa sio public announcement
Bora, mana wenzake wameweka Siri na zime bumbulukaHiyo ni siri yake
Na siyo nandy ni Nandy.Modes rekebisheni sio NAMDY ni nandy
Kaka vipi au ulisha, mtongoza aka kuchomoleaNa siyo nandy ni Nandy.
Hapo ndo mnapo feli, unadhani kila demu anataka hela za kudanga, niliwahi shuhudia demu kamchomolea kigogo mpaka kesho sijawahi amini, alafu aliekuwa anachapa sasa, hiyo maliTenga pesa mezani hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Hao ni watoto mzee wangu.Kaka vipi au ulisha, mtongoza aka kuchomolea
Okay Ila sidhani lama Ina msaada wowote kwenye maisha ya wengineJuma lokole, maimartha, na carry ma story, hivo vichwa vina connection chafu hapa mjini tungejuzwa tu niamini kaka.
Kaka pale Kwa ruge, ilikua juu ya uwezo wake, ni ina akubali kikojoleo kiliwe au apotezwe, wale walikua kama miungu watu mziki walikua nao wao, wao ndo waliamua nani atoke awe star na nani apotezwe, SUMA MNAZALETI aliambiwa hakuna kupanda show yoyote ya fiesta Wala p.a wakati huo na ndo ilivokua, walifeli Kwa diamondi tuKama si Ruge Nandy angekuwa msafi tu!
Naunga mkono hojOkay Ila sidhani lama Ina msaada wowote kwenye maisha ya wengine
Ina msaada tena sana huyo ni mfano wa kuigwa, visingizio vimekua vingi Kwa akina dada but huyu kasimama imara, Kwa Nini asipongezwe,Okay Ila sidhani lama Ina msaada wowote kwenye maisha ya wengine
Unampa maua yake!Ukiacha skendo ya marehemu mutahaba, sijawahi sikia skendo nyingine, alipo olewa nilijua ndoa haikatiz mwaka Mmoja Chali, lakini wapiiii, ndo kwanza ananenepa dada wa watu.
Nadhani wachawi wako bize kugombanisha ili waachane na wabaki single kama wao, aseee sister nandy na zawadi Yako pliz, napenda kuona dada zangu mkitulia kwenye ndoa zenu nafurahi sana, MUNGU akutangulie dada angu, INSHAALLAH.