Nandy day

Naamini atajifunza kupitia hili tatizo la wasanii wetu kila wanachokifanya lazima kiende kwa jamii usiri wa mambo yao hamna

Nitaendelea kuwaheshimu wasanii wanaojiheshimu
 
Wabongo wajuaji wa kila kitu,

Mpaka sasa sijaona cha ajabu ktk ile video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…