NANDI ALICHEPUKA???

Nandy kapata fame 2016 baada ya kutoka kushiriki tecno own the stage..Hesabu za mahusiano na Ruge kwa miaka 3 naona kama zinagoma..Atakuwa kadanganya..

Btw kama waliamua mahusiano yao yawe private sioni sababu ya yeye kuyaongelea now kwenye media..Angepiga kimya tu
 
Ndio nashangaa anaongelea sasa ili iweje,mbaya zaidi anaongea mengine ambayo kimsingi sio ya msingi na mengine kama hivi yanonekana sio ya kweli

Ila labda anapata unafuu wa maumivu kwa kuyaongea haya
 
Hivi mtu akiwa hai halafu mkapatana juu ya jambo liwe siri yenu mpaka pale mtapopatana tena liwe hadharani,sasa huyo mwenzio kafa unaanza kuvujisha siri utakua humkosei?
 
Hivi mtu akiwa hai halafu mkapatana juu ya jambo liwe siri yenu mpaka pale mtapopatana tena liwe hadharani,sasa huyo mwenzio kafa unaanza kuvujisha siri utakua humkosei?
Unakuwa unazingua..Na interview zake zote kwa kipindi hiki watakuwa wanamuuliza issue hizo hizo za Ruge..Atazidi kupuyanga..Bora akae kimya
 
Ndio nashangaa anaongelea sasa ili iweje,mbaya zaidi anaongea mengine ambayo kimsingi sio ya msingi na mengine kama hivi yanonekana sio ya kweli

Ila labda anapata unafuu wa maumivu kwa kuyaongea haya
Sure..Hope kuna watu wenye akili watakuwa wamemshauri akae kimya asiongelee hizi issue
 
Huyu nae akae kimyaa sasa, Ruge akiwa hai alimkana sasa kishavuta ndo daily kutuaminisha alikua wako mxyuuu hebu kaende huko bana ndio maana kana nyama chache
 
ndioooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…