Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,657
- 71,443
hahahaha... hayatuhusu ila wasitudanganye
Yani wanatupa uongo wa uongo kabisa 😅
hahahaha... hayatuhusu ila wasitudanganye
Vimtu vifupi vinamatatizo sana
Linamkereketa moyoni si unajua wanawake hawana vifua vya siriKulikuwa hakuna umuhimu wa kutuambia angekaa kimya tuu
Nandy kapata fame 2016 baada ya kutoka kushiriki tecno own the stage..Hesabu za mahusiano na Ruge kwa miaka 3 naona kama zinagoma..Atakuwa kadanganya..Katika ile video nakumbuka walikuwa wameplay nyimbo ya Billnas-sina jambo ambayo aliitoa mwaka 2017
Scandal yenyewe ilitokea mwaka jana nafikiri..means kuna utata juu ya muda walioanza kudate Ruge na Nandy...ni either wameongopa Ruge na Nandy hawakudate miaka mitatu au Nandy alichepuka
Halafu hainihusu
Nandy kapata fame 2016 baada ya kutoka kushiriki tecno own the stage..Hesabu za mahusiano na Ruge kwa miaka 3 naona kama zinagoma..Atakuwa kadanganya..
Btw kama waliamua mahusiano yao yawe private sioni sababu ya yeye kuyaongelea now kwenye media..Angepiga kimya tu
Hivi mtu akiwa hai halafu mkapatana juu ya jambo liwe siri yenu mpaka pale mtapopatana tena liwe hadharani,sasa huyo mwenzio kafa unaanza kuvujisha siri utakua humkosei?Nandy kapata fame 2016 baada ya kutoka kushiriki tecno own the stage..Hesabu za mahusiano na Ruge kwa miaka 3 naona kama zinagoma..Atakuwa kadanganya..
Btw kama waliamua mahusiano yao yawe private sioni sababu ya yeye kuyaongelea now kwenye media..Angepiga kimya tu
Unakuwa unazingua..Na interview zake zote kwa kipindi hiki watakuwa wanamuuliza issue hizo hizo za Ruge..Atazidi kupuyanga..Bora akae kimyaHivi mtu akiwa hai halafu mkapatana juu ya jambo liwe siri yenu mpaka pale mtapopatana tena liwe hadharani,sasa huyo mwenzio kafa unaanza kuvujisha siri utakua humkosei?
Sure..Hope kuna watu wenye akili watakuwa wamemshauri akae kimya asiongelee hizi issueNdio nashangaa anaongelea sasa ili iweje,mbaya zaidi anaongea mengine ambayo kimsingi sio ya msingi na mengine kama hivi yanonekana sio ya kweli
Ila labda anapata unafuu wa maumivu kwa kuyaongea haya
Hakuna kitu ni ujinga mtupu angekaa kimya tuu anajiabisha tuuLinamkereketa moyoni si unajua wanawake hawana vifua vya siri
ndiooooNandy kapata fame 2016 baada ya kutoka kushiriki tecno own the stage..Hesabu za mahusiano na Ruge kwa miaka 3 naona kama zinagoma..Atakuwa kadanganya..
Btw kama waliamua mahusiano yao yawe private sioni sababu ya yeye kuyaongelea now kwenye media..Angepiga kimya tu