NANDI ALICHEPUKA???

EricMan

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
3,802
Reaction score
6,736
yNiwakumbushe tu NANDI kasem alidate na ruge miaka 3..je ile ishu na bilinas (ilikua sjui n chupi) kwan ilikua n miaka mi3 nyuma? mh ngoja niendelee kujiuliza maswal yang kimya kimya..
 

Attachments

  • IMG_20190515_191410_145.JPG
    146.2 KB · Views: 52
  • Screenshot_20190515-191503.jpeg
    51.5 KB · Views: 52
  • IMG_20190515_191410_145.JPG
    146.2 KB · Views: 46
Katika ile video nakumbuka walikuwa wameplay nyimbo ya Billnas-sina jambo ambayo aliitoa mwaka 2017

Scandal yenyewe ilitokea mwaka jana nafikiri..means kuna utata juu ya muda walioanza kudate Ruge na Nandy...ni either wameongopa Ruge na Nandy hawakudate miaka mitatu au Nandy alichepuka

Halafu hainihusu​
 
Inshort Ruge ndiye aliyempora Bill Nas
 
Ruge alimkuta nandinho yupo na bill nenga wakawa wanagawana kisela Hadi mzee wa Sina Jambo akakaa pembeni wenzake wakaendeleza...
 
Haahaaahaaaaaaaaa...
Umehitimisha kibabe!.
 
hahahaha... hayatuhusu ila wasitudanganye
 
Anaendelea Kujitia Aibu Na Family Yake
Bayana Tunaficha....
Sasa Uneshakuwa Sijui Mjane Pambana Taratibu Utapata Mwingine.

Kuendelea Kuongelea Issue Ya Huyo Jamaa Aliyetangulia Unajiweka Eneo La Hovyo Kabisa
 
Anaendelea Kujitia Aibu Na Family Yake
Bayana Tunaficha....
Sasa Uneshakuwa Sijui Mjane Pambana Taratibu Utapata Mwingine.

Kuendelea Kuongelea Issue Ya Huyo Jamaa Aliyetangulia Unajiweka Eneo La Hovyo Kabisa
ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…