Chama mbele halafu nchi inafuata. Hizi ndio akili za kile chama cha kijani.Samahani man lkn hauna akili sawa sawa, Pelosi ni Kiongozi wa Upinzani ambaye anaongoza ( Bunge) la Upinzani USA, Ndugai ni Spika wa CCM chama kinachoongoza Serikali hauoni tofauti hapo? Kama Pelosi angekuwa Chama kimoja na D.Trump hapo ungekuwa na maana lkn ni wapinzani, hata TZ kama Upinzani wangekuwa na Wabunge wengi na kutoa Spika pia Spika wao angeweza kufanya mengi zaidi, hivyo usimlaumu Ndugai hawezi kukisaliti Chama chake ataondoka mara moja.
Kwa hivyo demokrasia ya kupeana mikono ndiyo ushahidi kuwa hii yetu ni bora kuliko ya Marekani?
Kaamua kuchana hotuba ya Trump baada ya kukataa kumpa mkonoView attachment 1347278View attachment 1347279
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama mbele halafu nchi inafuata. Hizi ndio akili za kile chama cha kijani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama spika wa bunge alishindwa kukemea live kauli ya bulembo juu ya zitto, kauli ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ndugu profesa Hasaard ya kwamba bunge Ni dhaifu itaendelea kuthibitika pasipo shakaHawa wote ni maspika wa mabunge yao.
Nachelea kusema Ndugai hawezi kuvaa viatu vya mwanamama Pelosi kwa umahiri na ushujaa wa kusimamia maslahi ya Taifa bungeni.
Inaonesha jinsi Separation of Power ilivyo na nguvu. Hakuna taasisi iliyo na nguvu dhidi ya taasisi nyingine.
Mambo yanayoendelea bunge la sasa la Tz ni aibu. Kuna wakati unatamani hata usiwe mtanzania kwa hoja na maazimio yasiyo na vichwa wala miguu.
Marehemu Sitta alijitahidi kuweka uzani sawa kama Spika wa Bunge. Huyu wa sasa ni kihoja.
Changamoto kwenu watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hujui separation of power haina maana hakuna muhimili wenye nguvu kuliko mwingine. Hapo ni kwamba kila mhimili umepewa madaraka na shughili zake kwenye katiba hakuna mhimili mmoja kuingilia shughuli za mhimili mwingine. Nchi inaweza kuendeshwa bila bunge lakini sio bila serikali au mkuu mwenye kutawala/ kuongoza. Kwa hiyo obvious executive ndio mhimili mkuu wa dola. Huwezi kuta nchi eti kuna bunge lakini haina serikali na kiongozi wa serikali.😅🤭🤭Hawa wote ni maspika wa mabunge yao.