Nanasi Lililoozea Ndani...

Asante my dia kwa kunielewesha nilikuwa sijui najua tu business park bestito
sasa utanifanyia kazi yangu ya kwenda kuulizia pale bei zao za kukodi
kwa siku moja au inakuwaje bestito?
Huo ukumbi hapo business park ndio waitwa letasi lounge my dear.....
 
Ni kweli tumepotezana mkuu...nina imani tutakutana kwenye sherehe ya kuuaga mwaka...
Huyu Mentor anafanya utani karibu na kweli..khaaa

haina shaka mkuu, Mentor kasema ukweli ila tu katuachia kihoro, maana ukitafakari na ukiangalia mananasi tuliyokwisha popoa sijui kama yote yalikuwa mazima?
 
Asante my dia kwa kunielewesha nilikuwa sijui najua tu business park bestito
sasa utanifanyia kazi yangu ya kwenda kuulizia pale bei zao za kukodi
kwa siku moja au inakuwaje bestito?


Kwani mnapanga iwe lini?
watu wana taarifa lakini?
 
Sikuwahi kuacha hata nukta moja kwenye bandiko lako mbee! Unajua kuandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…