Wewe ni mmoja wa watu mnaomkosoa hotuba za Mh. Rais Magufuli mkilalamika kuwa kwa nini asisome hotuba anazoandaliwa. I am curious kusikia kama mtaendelea kumshauri azisome au sasa umebadili gia angani.
Ukiwa kiongozi, ni vyema sana ukabaki WEWE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.