Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,179
- 2,004
1. Sakata la Lugumi, kukutana nae na kufanya muafaka wa kufunga mashine za kuchukua alama za vidole, ulikuwa mwanzo mzuri.
2. kusimamia nidhamu za askari wa majeshi, mfano kumtoa nje ya kikao kamishina wa magereza.
3. Kama Waziri, kutoa maagizo kwa IGP kuhakikisha mbwa aliyepotea anapatikana ni dalili ya mtu ambaye anataka atumie "his power". ni uthubutu na kuonesha anaweza toa order.
4 Kuonya polisi kutobambikia raia kesi, ni dalili anataka kuleta taswira chanya ktk jeshi la polisi. ni moja kati ya mambo yaliyoleta ufa kati ya polisi na wananchi. ni uamuzi na mwelekeo mzuri.
5. kutangaza ziara ktk vituo vya polisi kujionea mambo ya kiutendaji, ni dalili ana mawazo ya kufanya reform ktk jeshi la polisi na kutengeneza mwanzo mpya wa uwajibikaji.
6. kutoa amri kuwa dhamana itolewe hadi siku za mwisho wa juma (weekend) ni dalili pia, mh. Lugola ana dhamira ya kutaka haki ipatikane kwa wakati na kuondoa mianya ya rushwa nk.
Kwangu nadhani Kangi Anapaswa kusaidiwa, kushauriwa na kutiwa moyo, kuna kitu unaweza ona ndani yake