Namwombea Uteuzi Hoyce Temu

Acha mizaha
Hoyce amekosa credibility ya kupata uteuzi wa Rais,baada ya mdogo wake wa tumbo moja kuwa mtukanaji maarufu mitandaoni
Labda ateuliwe kuongoza wasafi jogging club
Kosa la mdogo wake linamuhusu nini yy ? Kila mtu anaishi maisha yake , kumbuka hao ni 18+ years old
 
Mange Kimambi alimuandama sana huyu Dada H Temu hasa wakati akiwa Mashirika ya UN na kuna kipindi walihusisha mpaka Uongozi wa Nchi
sasa mdogo wa Hoyce ndio akawa akijibu hayo mashambulizim na naona kwa uteuzi huu wa Ubalozi yanaweza ibuka, lkn Hoyce anyamaze km mwanzo
 
Kweli, na akiwa balozi marekani sijui atasema nini.
 
Huu Uzi sijui kwanini ulifungwa!?

 
Umesikilizwa
 
Ombi lako naona mama kaliona kateuliwa kuwa balozi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…