secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Kijiti cha katiKwani nimemwita "mke" apo?
Acha mizahaMh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.
Sasa mdogo wake anahusikaje humu! Yani uliulishwe matango pori ya mtandaoni ndo umchukie mdada wa watu.Acha mizaha
Hoyce amekosa credibility ya kupata uteuzi wa Rais,baada ya mdogo wake wa tumbo moja kuwa mtukanaji maarufu mitandaoni
Labda ateuliwe kuongoza wasafi jogging club
TUMESHAKUSIKIAKwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.
Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.
Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.
Wako katika ujenzi wa taifa
KJ.
Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.
Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.
Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.
Wako katika ujenzi wa taifa
KJ.
Ameshakula shavuAkiteuliwa Nani ataendesha hicho kipindi! Raisi usimteue aendelee na moyo huo wa kutukhabarisha ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya sasa mtu kala shavu tyrHatoki ziwani itakuwa vigumu kuteuliwa hata kama anafaa kiasi gani.
Kumbe maza yumo humu jf
Kuna watu wamejaaliwa moyo wa hivyo, kwao furaha huja mtu mwingine anapofanikiwa au mwenye shida anapoondolewa shida, hongera sana mleta maada maana si wote wenye moyo huyo,Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.