KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
CV yake ndo imeishia hapo sio?Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.
Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza anaroho gani huyu mdada.
Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.
Wako katika ujenzi wa taifa
KJ.
Kwani Marehemu alipoteuliwa, kanisa lilikufa?!Akiteuliwa tu hicho kipindi kwisha habari yake! Sasa chaguo ni lako kipindi kiendelee au kife!?
Sent using kidole gumba
Siungi mkono hoja aachwe aendelee kufanya anachokifanya hii ya kuwapa nafasi ya kisiasa wanaofanya mazuri ni ujinga, mfano prof mzuri anayefundisha chuo eti anapewa ubunge na uwaziri, inabidi abaki afundishe azalishe waliobora zaidi.Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.
Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.
Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.
Wako katika ujenzi wa taifa
KJ.
Hatoki ziwani itakuwa vigumu kuteuliwa hata kama anafaa kiasi gani.Anatokea ukanda gani kwanza...?
Kwani Marehemu alipoteuliwa, kanisa lilikufa?!
Sisi tunamtaka aje atumikie wanyonge wa nji hii.Hoyce anafanya UN hivyo nafasi aliyonayo inamtosha. Waache watingisha viuno wabaki na ndiyo zao.
Hatoki ziwani itakuwa vigumu kuteuliwa hata kama anafaa kiasi gani.
Kwanini usiwaombee dada zako wa tumbo moja kazi!!??Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.
Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.
Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.
Wako katika ujenzi wa taifa
KJ.
Inabidi uwe mtu wa rongorongo kupata uteuzi. Watu smart kama yeye si rahisi.Sisi tunamtaka aje atumikie wanyonge wa nji hii.
Kwani nimemwita "mke" apo?Kwanini usiwaombee dada zako wa tumbo moja kazi!!??