Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,983
Hajanikosea lolote
Ila naona anahatarisha uhai wa ndoa yangu
Nina nia ya dhati kuachana naye
Ila sasa haya mahaba anayonipa sijui nitayapata wapi kwingineko
Natokaje viongozi mbona kama nimeshanasa mazima kwa mdigo huyu
Wakuu nafanyaje kuokoa ndoa yangu
Tanga rahaHajanikosea lolote
Ila naona anahatarisha uhai wa ndoa yangu
Nina nia ya dhati kuachana naye
Ila sasa haya mahaba anayonipa sijui nitayapata wapi kwingineko
Natokaje viongozi mbona kama nimeshanasa mazima kwa mdigo huyu
Wakuu nafanyaje kuokoa ndoa yangu
mkuu hii kitu we sikia tuMwambie mke wako akupe mahaba
haya mambo sio km mat.ako kila mtu anayo mkuuMwambie mke wako akupe mahaba
😂Si umwambie mke afanye hivyo pia...mkuu hii kitu we sikia tu
unaweza kukojoa maini na kongosho yake
Nipe namba yake dogoHajanikosea lolote
Ila naona anahatarisha uhai wa ndoa yangu
Nina nia ya dhati kuachana naye
Ila sasa haya mahaba anayonipa sijui nitayapata wapi kwingineko
Natokaje viongozi mbona kama nimeshanasa mazima kwa mdigo huyu
Wakuu nafanyaje kuokoa ndoa yangu
Chunga kauli zako mkuu usijekuta wewe ni kijana wangu wa pili au tatu ukoNipe namba yake dogo
[emoji84][emoji84]Wake zetu wanaushauri mzuri sana sema hatujui tu,unaonaje umshirikishe shemeji hiyo dillema yako MKuu?who knows unaeza shangaa akabubali uke wenza na kama una Bahati mnaweza kuwa mnapiga threesome mara Moja Moja ,tatizo unajitesa wakati maisha ni haya haya.