SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Kwa wakati ule umuhimu wake haukuonekana leo hi ndo unauona?Habarini wanangu wa jf ni muda sasa. Sijapost thread
Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule flani jijini mbeya ilikuwa co-education(boarding)
[emoji43][emoji31]View attachment 2488261Kisichokufaa leo kitakufaa kesho,
Zama kwenye group la darasa lenu chambua namba au omba namba kwa wenzie waliokua wanasoma biashara na yeye then anza kudondoka mistariHabarini wanangu wa jf ni muda sasa. Sijapost thread
Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule flani jijini mbeya ilikuwa co-education(boarding)
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kuwa personally mimi ni domo zege na hii imechangiwa na puchu pamoja na kusoma single school o-level sasa basi wakati tunakaribia kuua 6 niliamua niface my fear nikaanza kuchangamka kidogo kwa madenti kwa kufuata ushauri wa (jamaangu mmoja) mtu wa pisi
Katika harakati hizo nikaopoa denti mmoja wa arts mimi nilikuwa science alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu lakini ila tulikuwa tunaoneana aibu sana [emoji81] [emoji19] sema tulisukumana hivyohivyo
Sasa kumbe kwenye harakati za hapa na pale nikasikia tetesi kuwa demu flani wa masomo ya biashara alikuwa ananikubali nikasema mmmh hapa vipi kudadisi zaidi nikamjua ni nani kusema ukweli nilikuwa namkubaligi sababu ya (urefu+shepu+rangi)
Ila nikaamua kumpotezea nikaamua kubaki na huyu mwingine [emoji58].
Cha ajabu baada ya kumaliza 6 nilikuwa nawaaga wanangu fresh na huyu chick wangu wa arts fresh ila huyu mwingine nilitaka kumpotezea ila akalazimisha nimuage hivyo nikafake kidogo si mnajua tena sasa kwanzia alivyoniaga mpaka leo namuwazaga tu sielewi nn shida sio chaguo langu ila namuwaza sana mawasiliano nao baada ya kumaliza hakuna kwa wote hivyo ilikuwa kama kupunguzana ugumu tu kwa muda mfupi
Sasa wanangu shida yangu ni kuwa kwanzia nimalize 6 mpaka leo yule demu niliyempotezeaga NAMUWAZA SANAA wanangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] khaa yaani unakuta najishughulisha na mihangaiko yangu ila haipiti siku sijamuwaza yaaani nasikia kama moyo unachezacheza yaani ni kero tu wanangu
Naombeni kama kuna mtu ashawahi pata scenario kama hii anieleze jinsi ya kuikimbia maana inanitesa sana nilimpotezeaga sana ila namuwaza balaaa
DeepPond Shimba ya Buyenze mpwayungu village
Naombeni mawazo yenu pia
[emoji43][emoji31]View attachment 2488261
Mbona unashangaa mkuu vipiumemaliza f6 mwaka jana mwezi wa tano!
Dogo acha ujinga.
😂😂😂😂Habarini wanangu wa jf ni muda sasa. Sijapost thread

mzabzabHabarini wanangu wa jf ni muda sasa. Sijapost thread

Ah hiyo mbona kawaida tuu mie mwenyewe kuna mwanamke mmoja huyo haiwezi pita siku bila kumuwaza pamoja na kwamba nachakata mbususu za pisi kali. Kila shetani n ambuyu wake apambane tuu
Ulimpenda ila ukajarbu kubshana na hsia zakoHabarini wanangu wa jf ni muda sasa. Sijapost thread
Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule flani jijini mbeya ilikuwa co-education(boarding)
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kuwa personally mimi ni domo zege na hii imechangiwa na puchu pamoja na kusoma single school o-level sasa basi wakati tunakaribia kuua 6 niliamua niface my fear nikaanza kuchangamka kidogo kwa madenti kwa kufuata ushauri wa (jamaangu mmoja) mtu wa pisi
Katika harakati hizo nikaopoa denti mmoja wa arts mimi nilikuwa science alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu lakini ila tulikuwa tunaoneana aibu sana [emoji81] [emoji19] sema tulisukumana hivyohivyo
Sasa kumbe kwenye harakati za hapa na pale nikasikia tetesi kuwa demu flani wa masomo ya biashara alikuwa ananikubali nikasema mmmh hapa vipi kudadisi zaidi nikamjua ni nani kusema ukweli nilikuwa namkubaligi sababu ya (urefu+shepu+rangi)
Ila nikaamua kumpotezea nikaamua kubaki na huyu mwingine [emoji58].
Cha ajabu baada ya kumaliza 6 nilikuwa nawaaga wanangu fresh na huyu chick wangu wa arts fresh ila huyu mwingine nilitaka kumpotezea ila akalazimisha nimuage hivyo nikafake kidogo si mnajua tena sasa kwanzia alivyoniaga mpaka leo namuwazaga tu sielewi nn shida sio chaguo langu ila namuwaza sana mawasiliano nao baada ya kumaliza hakuna kwa wote hivyo ilikuwa kama kupunguzana ugumu tu kwa muda mfupi
Sasa wanangu shida yangu ni kuwa kwanzia nimalize 6 mpaka leo yule demu niliyempotezeaga NAMUWAZA SANAA wanangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] khaa yaani unakuta najishughulisha na mihangaiko yangu ila haipiti siku sijamuwaza yaaani nasikia kama moyo unachezacheza yaani ni kero tu wanangu
Naombeni kama kuna mtu ashawahi pata scenario kama hii anieleze jinsi ya kuikimbia maana inanitesa sana nilimpotezeaga sana ila namuwaza balaaa
DeepPond Shimba ya Buyenze mpwayungu village
Naombeni mawazo yenu pia
[emoji43][emoji31]View attachment 2488261
Kuna wkt ukfka ktk maisha, kutokana na changamoto ulzoptia au unazoptia ktk mahusiano unaamua kukumbuka ni kna nan waliokuwa wanakukubal ili uweze kujiweka karbu uanzshe mahusiano nao[emoji23]Habarini wanangu wa jf ni muda sasa. Sijapost thread
Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule flani jijini mbeya ilikuwa co-education(boarding)
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kuwa personally mimi ni domo zege na hii imechangiwa na puchu pamoja na kusoma single school o-level sasa basi wakati tunakaribia kuua 6 niliamua niface my fear nikaanza kuchangamka kidogo kwa madenti kwa kufuata ushauri wa (jamaangu mmoja) mtu wa pisi
Katika harakati hizo nikaopoa denti mmoja wa arts mimi nilikuwa science alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu lakini ila tulikuwa tunaoneana aibu sana [emoji81] [emoji19] sema tulisukumana hivyohivyo
Sasa kumbe kwenye harakati za hapa na pale nikasikia tetesi kuwa demu flani wa masomo ya biashara alikuwa ananikubali nikasema mmmh hapa vipi kudadisi zaidi nikamjua ni nani kusema ukweli nilikuwa namkubaligi sababu ya (urefu+shepu+rangi)
Ila nikaamua kumpotezea nikaamua kubaki na huyu mwingine [emoji58].
Cha ajabu baada ya kumaliza 6 nilikuwa nawaaga wanangu fresh na huyu chick wangu wa arts fresh ila huyu mwingine nilitaka kumpotezea ila akalazimisha nimuage hivyo nikafake kidogo si mnajua tena sasa kwanzia alivyoniaga mpaka leo namuwazaga tu sielewi nn shida sio chaguo langu ila namuwaza sana mawasiliano nao baada ya kumaliza hakuna kwa wote hivyo ilikuwa kama kupunguzana ugumu tu kwa muda mfupi
Sasa wanangu shida yangu ni kuwa kwanzia nimalize 6 mpaka leo yule demu niliyempotezeaga NAMUWAZA SANAA wanangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] khaa yaani unakuta najishughulisha na mihangaiko yangu ila haipiti siku sijamuwaza yaaani nasikia kama moyo unachezacheza yaani ni kero tu wanangu
Naombeni kama kuna mtu ashawahi pata scenario kama hii anieleze jinsi ya kuikimbia maana inanitesa sana nilimpotezeaga sana ila namuwaza balaaa
DeepPond Shimba ya Buyenze mpwayungu village
Naombeni mawazo yenu pia
[emoji43][emoji31]View attachment 2488261
Sipo kwenye mahusiano mkuuKuna wkt ukfka ktk maisha, kutokana na changamoto ulzoptia au unazoptia ktk mahusiano unaamua kukumbuka ni kna nan waliokuwa wanakukubal ili uweze kujiweka karbu uanzshe mahusiano nao[emoji23]
Kjana ulchezea bahat, sema hakjapita kpnd krefu, unaweza kumpata mkuu
Usisahau kutupa mrejesho