kotinkarwak
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 376
- 115
Elimu sio free, nadhani tukishapandisha hii idea akilini tutajua kuwa, kuwepo na mazingira ambayo elimu nzuri inapatikana, pesa lazima itumike. Tanzania sasa tunaambiwa kuwa Primary education ni free, Secondary pia inaelekea huko huko, ndio sponsors wa hizi ideas wapo na wanatumia pesa nyingi tu, lakini sisi je tunajua kiasi hicho cha pesa kinatumika vipi?
Suggestion hapo juu ni kuwa na public private partnership. Mfano, kama shule inahitaji kuendelezwa na private sector, iwe ya kata au ya zamani, basi serikali inabidi imkabidhi uendeshaji private operator, ambae atapata mchango kwa hiyo shule kutoka serikalini kila mwaka na pengine na nyogeza zaidi kwa kuchukua jukumu hilo. kama kila mwanafunzi ametengewa TSH XYZ na shule ina wanafunzi ABC, basi jumla yake plus operation percentage apewe, na hapo basi tunaweza kuona kuwa ushindani kikazi utafanyika.
P.S. Mwenye kufahamu hizi figures tunaomba maelezo zaidi....
Private schools zinatoa services za kuigwa, na vitisho kama hivi havisaidii maendeleo yake.